Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 17,119
- 32,195
Una huruma sana.Ila aam
Ila watu mna mambo
Kosa la habili ni nn?
Nn kakosea?
😁😁
Halafu mkaka wa watu kila siku yuko live chini pale shida nn?
Kwenye vita kama hizi kuamini kila mtu anayejitokeza ghafla unaweza kujikuta unashindwa kumtambua Trojan horse.
Kwa kusema hisia zangu haimaanishi Habil ni adui. Anaweza kuwa shujaa wetu wa kweli.