October 2pm
JF-Expert Member
- May 2, 2023
- 1,148
- 2,032
Fisiemu, mbona mmeanza kupagawa mapema?Mayii! Nalia miye! Poyee! Nimehakikishiwa Habil kashafanya damage kusudiwa. Mayi. Ngejua walahi wala singejihusisha naye. Uzuri yeye hatujuani lakini mmh! God forbid. Lengo lake kufanya damage kwenye D9. Huyu anayenijuza hapa katoka kongea naye mbele ya maskio yagu. Sio Gen Z wala, mbona ajua kiswahili kuliko miye. Leo nimeamini baada ya ripoti ya polisi. Hehee! Nye nye Nye. Mwaona Yale mambo yatajwa mule. Nusu na robo yatoka kwa Habil kabil. Wayatumia kujipa kibali cha jeshi kushika ulinzi kwa Musa hiyo D9. Askofu acha mara Moka kuwasiliana na habil walahi wakuweka Nyavuni sio Muda. Na bado
Fisiemu, mbona mmeanza kupagawa mapema?
Mayii! Nalia miye! Poyee! Nimehakikishiwa Habil kashafanya damage kusudiwa. Mayi. Ngejua walahi wala singejihusisha naye. Uzuri yeye hatujuani lakini mmh! God forbid. Lengo lake kufanya damage kwenye D9. Huyu anayenijuza hapa katoka kongea naye mbele ya maskio yagu. Sio Gen Z wala, mbona ajua kiswahili kuliko miye. Leo nimeamini baada ya ripoti ya polisi. Hehee! Nye nye Nye. Mwaona Yale mambo yatajwa mule. Nusu na robo yatoka kwa Habil kabil. Wayatumia kujipa kibali cha jeshi kushika ulinzi kwa Musa hiyo D9. Askofu acha mara Moka kuwasiliana na habil walahi wakuweka Nyavuni sio Muda. Na bado
Wewe na Yeriko tofauti ni majina tu 😆😂
Dawa yenu inachemka #D9Na bado
October 2pm unakumbuka nilikutahadharisha kuwa hii ni bara siyo Zanzibar na nilikujulisha kuwa Dkt Samia mwenyekiti wetu siyo hapendwi tu na wananchi bali hata vyombo vya usalama muda wowote wakipata nafasi wanamuua kwa sababu anawadharirisha na kafanya kazi zao kuwa ngumu. Can you imagine askari waliokufa kwa sababu ya ujinga wake kutaka madaraka. Ndiyo maana D9 sijui kama atapona!Mayii! Nalia miye! Poyee! Nimehakikishiwa Habil kashafanya damage kusudiwa. Mayi. Ngejua walahi wala singejihusisha naye. Uzuri yeye hatujuani lakini mmh! God forbid. Lengo lake kufanya damage kwenye D9. Huyu anayenijuza hapa katoka kongea naye mbele ya maskio yagu. Sio Gen Z wala, mbona ajua kiswahili kuliko miye. Leo nimeamini baada ya ripoti ya polisi. Hehee! Nye nye Nye. Mwaona Yale mambo yatajwa mule. Nusu na robo yatoka kwa Habil kabil. Wayatumia kujipa kibali cha jeshi kushika ulinzi kwa Musa hiyo D9. Askofu acha mara Moka kuwasiliana na habil walahi wakuweka Nyavuni sio Muda. Na bado
Toa ujinga apaMayii! Nalia miye! Poyee! Nimehakikishiwa Habil kashafanya damage kusudiwa. Mayi. Ngejua walahi wala singejihusisha naye.
Uzuri yeye hatujuani lakini mmh! God forbid. Lengo lake kufanya damage kwenye D9. Huyu anayenijuza hapa katoka kongea naye mbele ya maskio yagu. Sio Gen Z wala, mbona ajua kiswahili kuliko miye.
Leo nimeamini baada ya ripoti ya polisi. Hehee! Nye nye Nye. Mwaona Yale mambo yatajwa mule. Nusu na robo yatoka kwa Habil kabil. Wayatumia kujipa kibali cha jeshi kushika ulinzi kwa Musa hiyo D9.
Askofu acha mara Moka kuwasiliana na Habil walahi wakuweka Nyavuni sio Muda. Na bado
Huyo Habili ni mpuuzi tu ,kila siku tunawaambia jamaa ni mpuuzi tu mmoja anayetumia Magic Voice kudanganya waTZ na kuwapumbaza ,mtu mwenye siri za nchi analeta blah blah mitandaoni? Wenye siri wanazimwaga tu hadharani kama kina Edward Snowden ,hawakuwa na propaganda ohoo nina ushahidi ushahid my a$$.Mayii! Nalia miye! Poyee! Nimehakikishiwa Habil kashafanya damage kusudiwa. Mayi. Ngejua walahi wala singejihusisha naye.
Uzuri yeye hatujuani lakini mmh! God forbid. Lengo lake kufanya damage kwenye D9. Huyu anayenijuza hapa katoka kongea naye mbele ya maskio yagu. Sio Gen Z wala, mbona ajua kiswahili kuliko miye.
Leo nimeamini baada ya ripoti ya polisi. Hehee! Nye nye Nye. Mwaona Yale mambo yatajwa mule. Nusu na robo yatoka kwa Habil kabil. Wayatumia kujipa kibali cha jeshi kushika ulinzi kwa Musa hiyo D9.
Askofu acha mara Moka kuwasiliana na Habil walahi wakuweka Nyavuni sio Muda. Na bado
Omary kheri walianza kumtaja Twitter Habil ndo akaja kupita nayo baadae sanaHabil ndio ametia ndimu vijana kuingia barabarani tena ..kaleta chuki kubwa mnoooo kwa vijana juu ya boss wako...
Tungejuaje ya Omary kheri?
Ya boss wako kunywa majibya Fiji?
Hii uloleta leo boko shehee..
Yes ,jamaa anakusanya data kwenye mitandao kisha anakuja kuwazubaisha waTZ kwenye tiktok.Omary kheri walianza kumtaja Twitter Habil ndo akaja kupita nayo baadae sana
Sijawahi kutumia muda kumsikiliza huyo Habil maana ana dalili zote za kuwa project maalum na hili nilishasema ila hiyo ripoti ya polisi ni propaganda za kipuuzi.Mayii! Nalia miye! Poyee! Nimehakikishiwa Habil kashafanya damage kusudiwa. Mayi. Ngejua walahi wala singejihusisha naye.
Uzuri yeye hatujuani lakini mmh! God forbid. Lengo lake kufanya damage kwenye D9. Huyu anayenijuza hapa katoka kongea naye mbele ya maskio yagu. Sio Gen Z wala, mbona ajua kiswahili kuliko miye.
Leo nimeamini baada ya ripoti ya polisi. Hehee! Nye nye Nye. Mwaona Yale mambo yatajwa mule. Nusu na robo yatoka kwa Habil kabil. Wayatumia kujipa kibali cha jeshi kushika ulinzi kwa Musa hiyo D9.
Askofu acha mara Moka kuwasiliana na Habil walahi wakuweka Nyavuni sio Muda. Na bado
HahahahaaaaqaMayii! Nalia miye! Poyee! Nimehakikishiwa Habil kashafanya damage kusudiwa. Mayi. Ngejua walahi wala singejihusisha naye.