Una huruma sana.Ila aam
Ila watu mna mambo
Kosa la habili ni nn?
Nn kakosea?
ππ
Halafu mkaka wa watu kila siku yuko live chini pale shida nn?
MI naangalia alichofanya/anachofanya ndo maana nauliza!Una huruma sana.
Kwenye vita kama hizi kuamini kila mtu anayejitokeza ghafla unaweza kujikuta unashindwa kumtambua Trojan horse.
Kwa kusema hisia zangu haimaanishi Habil ni adui. Anaweza kuwa shujaa wetu wa kweli.
MJamaa ana mwandiko mbaya sanaHivi wewe ni raia wa nchi gani? mbona unaandika kiswahili kibovu sana!
Shangaaa na wewe aisee hawa watu wamechanganyikiwaaaHahahahaaaaqa
πππππmwanakitengo ambae wanamshusha anapopiga nondo mpk kumtumia watu wa kumuondoa uhai wake
Haswaa wanahsngika snShangaaa na wewe aisee hawa watu wamechanganyikiwaaa
Habil kafanya barabara ya bandari ulinzi uimarishwe mara 100 zaidi.Hahahahaaaaqa
πππππmwanakitengo ambae wanamshusha anapopiga nondo mpk kumtumia watu wa kumuondoa uhai wake
Umeandika vitu havieleweki inabidi ukamatwe upakwe mafuta mpa umeremeteMayii! Nalia miye! Poyee! Nimehakikishiwa Habil kashafanya damage kusudiwa. Mayi. Ngejua walahi wala singejihusisha naye.
Uzuri yeye hatujuani lakini mmh! God forbid. Lengo lake kufanya damage kwenye D9. Huyu anayenijuza hapa katoka kongea naye mbele ya maskio yagu. Sio Gen Z wala, mbona ajua kiswahili kuliko miye.
Leo nimeamini baada ya ripoti ya polisi. Hehee! Nye nye Nye. Mwaona Yale mambo yatajwa mule. Nusu na robo yatoka kwa Habil kabil. Wayatumia kujipa kibali cha jeshi kushika ulinzi kwa Musa hiyo D9.
Askofu acha mara Moka kuwasiliana na Habil walahi wakuweka Nyavuni sio Muda. Na bado
Haina shida wenyewe wanaenda zo UN paleHabil kafanya barabara ya bandari ulinzi uimarishwe mara 100 zaidi.
Nasikia imefungwa.
ππππHabil ndio ametia ndimu vijana kuingia barabarani tena ..kaleta chuki kubwa mnoooo kwa vijana juu ya boss wako...
Tungejuaje ya Omary kheri?
Ya boss wako kunywa majibya Fiji?
Hii uloleta leo boko shehee..
Tuliuzwa walah, Gen z huko tiktok sasa hivi wana hasira wanaparuana wao kwa wao. Yaani aliye iroga bongo atuhurumie kidogo π€£Hivi mbona account ya Habil kwenye bio kaandika wanaotaka matangazo waje Dm wakati mwanzo hakuandika! Na yeye yupo Marekani njaa hana hadi aombe watu kuwatangazia biashara zaoπ€ halafu nuruvazi posts alizompost habil kazifuta? Au aliyosema october 2pm ni kweli?π
naa Tayana-wog
Kitu kimoja nna uhakika nacho, project yao imefanikiwa Gen z wana hasira mnoo saa na dakika yeyote watakayopata upenyo hama mtu ataamini macho yake!Hii nchi Ina watu wajinga Sana
Mange alisema tokeni jeshi litawalinda
Akaja yule Malaya Dangwa
Akaja Habili
Yaani GEN Z wamekufa barabarani kwa kuingizwa king na wapumbavu
Nilichanganya account kumbe habili yupoTuliuzwa walah, Gen z huko tiktok sasa hivi wana hasira wanaparuana wao kwa wao. Yaani aliye iroga bongo atuhurumie kidogo π€£