Lekanjobe Kubinika
JF-Expert Member
- Dec 6, 2006
- 3,019
- 579
By the way, who is she?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
i cant believe yule dada ni mwizi!!!!Wahenga walisema, ndege wafananao huruka pamoja. Msishangae sana kuhusu Nakaaya na JK, hawa wanafanana, ingawa si kwa "daraja" moja.
Nyepesi/nyeti nilizozinyaka - katika safari yangu ndefu ya UCHOKONOZI - nimenyetishwa kwamba miaka kadhaa, Nakaaya, wakati akiwa mwajiriwa (cashier/teller) wa benki ya Standard Chartered, jijini Dar es Salaam, aliwahi kukumbwa na kashfa ya wizi wa pesa kadhaa wakati akiwa kazini. Habari za kuaminika (source withheld) zinadai kwamba wakati huo Nakaaya alikuwa anatumia jina lake la Glory/Gloria, lakini baada ya kukumbwa na kasha hiyo iliyomfikisha lupango (na kesi kuzimwa kiaina), aliacha kutumia jina hilo na kuanza kutumia hilo la nyumbani, Nakaaya.
Wenye data zaidi mnaombwa kufuatilia. Tunataka kujua ukweli wa madai haya.
Asanteni.
<(MCHOKONOZI)>
Kaka... politics is a dirty game, we should expect anything clean out of it!Wakuu zangu ebu niulize kitu kimoja, Hawa watu wakitoka CCM kuingia Chadema wanaitwa ni watu wenye tamaa waliokosa Uongozi, lakini nachoshangaa CCM hiyo hiyo inapokea watu kutoka vyama vingine sijui hawa wako vipi?!. Hivi huyu binti hafikirii huko CCM anachukuliwa vipi ndani ya CCM?
I beg to differ... Sugu alianza uharakati kabla nakaaya hajaiba hata benki, sugu was not inspired by Nakaaya kama unajua vizuri histroria ya sugu utanielewa, mkoloni na dr joni walianza harakati from their fvery first song na wanajulika wazi, kumbuka kwamba nakaaya bado ni new generation ingawa she is a talent, kusema nakaaya alimisnpire sugu ni sawa na kusema Ali kiba aliminspire Professor JayUamuzi wa Nakaaya - kama msanii wa kizazi kipya - uliwahamasisha Sugu, Mkoloni na wengineo, kuchukua uamuzi huo, lakini tofauti na wao, hawa ni wasanii na wazalendo pia.
Uzalendo ni kujitoa kwa ajili yako. Nakaaya anaweka maslahi yake mbele ya maslahi ya taifa; historia itamhukumu.
Lakini pia, kutokana na umri wake kuwa mdogo, huenda hana uwezo wa kubaini yatakayokuja kutokea siku zijazo. Unahitaji umri kuwa na busara za kionambali. Sugu, Mkoloni na wengine wameliona hili. Hata kama CHADEMA hawatachukua Urais (sidhani JK na wenzake wataridhia hili...), Bunge lijalo SIO la CCM.
Kisanii, ukimweka Nakaaya na Sugu, wafanye onesho la pamoja, utawapata washabiki wengi zaidi wa Sugu kuliko Nakaaya. Na kwa hili alilolifanya jana, kujitakia umaarufu kutamkosesha mauzo sokoni, kama wenzake walio kwenye kampeni tayari. Ndio, watamwingiza kwenye kampeni, ataenda kumpigia debe JK. Sawa, anataka maslahi, yake. Ya taifa? Hana habari nayo, hata kidogo.
Kila la kheri.
-> Mwana wa Haki
JF Kwa DATA NOMA...Huyu nilishamsoma tangu kipindi kile alipofunga "ndoa" na msanii wa Dead Prez akadanganywa atapewa contract na Sony, kumbe chizi anajipigia tu! Akarudi bongo analalamika wamemwonea, hayuko makini huyu sista.
Nakaaya Sumari ameamua kujitosa katika kinyanganyiro cha kuwania ubunge wa viti maalumu mkoani Arusha kupitia chama cha demokarisia na maendeleo (Chadema) kwa kuchukua fomu ya kugombea nafasi hiyo mjini Arusha.
Nakaaya ambaye ni katibu mhamasishaji wa baraza la vijana la Chadema wilayani Arusha alichukua fomu ya kuwania kiti hicho juzi katika ofisi za chama hicho zilizopo maneeo ya Esso jengo la Meru Plaza mjini Arusha.![]()
Akiwa ameongozana na mwenyekiti wa vijana wa Chadema wilaya ya Arsuha. Exaud Mamuya sanjari na katibu wa vijana, Arnold Kamnde, mgombea huyo alichukua fomu ya kuwania kiti hicho majira ya saa 3:30 asubuhi katika ofisi hizo.
Akizungumza mara baada ya kukabidhiwa fomu ya kuwania kiti hicho Nakaaya alisema ya kuwa binafsi anahisi ya kuwa nafasi ya yeye kuwa mwakilishi wa wanawake wa mkoa wa Arusha katika bunge la jamhuri nchini kupitia chadema mkoani Arusha umewadia.
Nakaaya alisema ya kuwa lengo kubwa lililomsukuma kuwania nafasi hiyo ni kutokana na uchungu alionao hususani mateso wanayopata wakinamama katika masusla ya afya ya uzazi katika huku akihaidi kusimamia masula ya afya ya uzazi kwa wakianamama nchini.
Nahisi muda umefika wa kutenda ninayoyahubiri siku zote,nataka nikasimamie matatizo ya uzazi kwa wakinamama hili linanipa uchungu katika maisha yangu siku zote.Nataka nikawawakilishe wanawake wa mkoa wa Arusha kupitia chama changu nina imani nitashinda nafasi hii kwasababu ninajiamini, hivyo naomba mniunge mkono wanawakealisema Nakaaya.
Awali akimkabidhi fomu ya kuwania nafsi hiyo katibu wa Chadema wilayani Arusha,Bakari Kasembe aliwataka wanawake wote wa mkoa wa Arusha kupitia chama hicho kujitokeza kwa wingi kuwania nafasi hiyo.
Kasembe alisistiza ya kuwa awali chama chao hakikuwa na uwakilishi wa kiti hicho mkoani Arusha katika bunge la jamhuri nchini lakini wakati huu wamejipanga kutoa viti vitatu na kiti cha ubunge wa Arusha mjini.
Tayari joto la kuwania nafasi ya ubunge wa viti maalumu mkoani Arusha kupitia chama hicho limeanza kushika kasi ambapo hadi sasa tayari wagombea wawili wameshajitokeza kuwania kiti hicho ambao ni Magreth Olotu na Joyce Muya.
From: Wahapahapa
VIPI UBUNGE ALIKWAMA? Pole sana mama....... Rudi ukale hela za kodi yetu na migodi. Ila angalia usije ukawa umekosea.
I beg to differ... Sugu alianza uharakati kabla nakaaya hajaiba hata benki, sugu was not inspired by Nakaaya kama unajua vizuri histroria ya sugu utanielewa, mkoloni na dr joni walianza harakati from their fvery first song na wanajulika wazi, kumbuka kwamba nakaaya bado ni new generation ingawa she is a talent, kusema nakaaya alimisnpire sugu ni sawa na kusema Ali kiba aliminspire Professor Jay
Tulikua na too proud, hard blasters, kwanza unit na wengine mkuu, wote walikua wanaharakati... ni Clouds na Mkuu ndo wamekuja kubadili upepo na ukumbuke hata akina nature, Temba ni njaa ndo inawaweka pale clouds maana album haziuzi ni concerts na jingle ndo zinazolipa
Now pia tusisahau Karama wa bock 41 - KIKOSI CHA MIZINGA naye yuko kafu and ni mwanaharakati mzuri without nakaya inspiration
LETS NOT MIX UP THINKS HERE
Ninaposema ni watu si mtu namaanisha imejijenga kichama zaidi na si mtu.CHADEMA si kama ilivyokuwa NCCR-Mageuzi alivyoondoka mrema ndiyo ikafa,leo hata aondoke mbowe CHADEMA bado itaendelea kuwepo,nini nakaayaKumbuka, 'mtu na mtu hufanya watu'.
Huwezi kujua mkuu, labda anadhani kuwa akipewa ukuu wa wilaya atasaidia wanawake na watoto wale aliokuwa akiwapigania.
Again, kila la heri Nakaaya.
huyo anataka kumegwa tu na kiwete