Nakabwa usiku na kitu nisichokiona

Nakabwa usiku na kitu nisichokiona

Mbuna Senior

Member
Joined
Aug 2, 2016
Posts
55
Reaction score
125
Habari wanajamii wenzangu

Napenda kupata ushauri mara nyingi huwa inanitokea nakosa kabisa usingizi hadi usiku mwingi kuanzia saa 8 hivi kumetulia ndo vimbwangwa vinaanza napata usingizi wa ghafla alafu nakabwa na dude lisilojulikana nashindwa kufanya lolote nabaki nasali kimya kimya.

Baada ya muda naliona hilo linaondoka naona kama kivuli kiumbe ambacho hakina shape wala uwezi kuelezea umbile lake. Sasa naomba ushauri nifanye nini ili hali hii isiweze kunitokea maana inaninyima raha nikifikilia wakati ukifika wa kulala.
 
Habari wanajamii wenzangu

Napenda kupata ushauri mara nyingi huwa inanitokea nakosa kabisa usingizi hadi usiku mwingi kuanzia saa 8 hivi kumetulia ndo vimbwangwa ...

Jaribu kutumia vidonge vya pressure. Na usile chumvi nyingi hasa usiku. Au pata ushauri wa daktari. Hakuna jitu wala mzimu ni hofu tu pressure ikiwa juu
 
[emoji23][emoji23][emoji23]
Nitafanyaje sasa mkuu nishaamua kuachana nalo kulalake zake, Yani sometimes ni kama nakuwa macho ila siwezi kufanya kitu yoyote zaidi ya kujitahidi kutumbua mimacho. Ila kwangu nadhani tatizo ni hii nyumba ninayoishi coz nikilala sehemu tofauti sikutani na huu ujinga.
 
Back
Top Bottom