Nakabwa usiku na kitu nisichokiona

Nakabwa usiku na kitu nisichokiona

Nenda hospitali ukapime kiwango cha thyroid hormone...
Wakati mwingine thyroxine inapokuwa chini, thyroid gland hujaribu kutanuka ili kuweza kuongeza uzalishaji wa homoni kitu kinachopelekea mhanga ajihisi kuna kitu kinamkaba kooni.
 
Habari wanajamii wenzangu

Napenda kupata ushauri mara nyingi huwa inanitokea nakosa kabisa usingizi hadi usiku mwingi kuanzia saa 8 hivi kumetulia ndo vimbwangwa vinaanza napata usingizi wa ghafla alafu nakabwa na dude lisilojulikana nashindwa kufanya lolote nabaki nasali kimya kimya.

Baada ya muda naliona hilo linaondoka naona kama kivuli kiumbe ambacho hakina shape wala uwezi kuelezea umbile lake. Sasa naomba ushauri nifanye nini ili hali hii isiweze kunitokea maana inaninyima raha nikifikilia wakati ukifika wa kulala.
Mkuu title umeandika unabakwa usiku au macho yangu yana shida ? 🙄
 
Iyo ishu ndogo marafiki zako wanga wanakuchezea kuwa MAKINI wakiona Huna kinga yoyote watakugeuza usiku shauri yako Hilo ni onyo. Kata mazoea na watu wote ambao Kila ukilala unawota Ndotoni. Huo ndio Masada wangu kwako.
 
Watamgeuza kua nini mkuu mbon unamtisha? 😟
 
Nitafanyaje sasa mkuu nishaamua kuachana nalo kulalake zake, Yani sometimes ni kama nakuwa macho ila siwezi kufanya kitu yoyote zaidi ya kujitahidi kutumbua mimacho. Ila kwangu nadhani tatizo ni hii nyumba ninayoishi coz nikilala sehemu tofauti sikutani na huu ujinga.
Hama hapo
 
Inakubidi utubu dhambi zote na kuziacha ulizowahi kutenda. Mith 28:13, ukifa na hali hiyo ujue mapepo yatakupokea jehanam ya moto. Haina ulinzi wa Yesu ndio maana mapepo yanakujia yanavyotaka, tubu yoshi na Mungu wa Biblia Ili upone nawisho uende mbinguni
 
Mara nyingi sio shida Bali ni namna mwili unavyokuamsha pale unapokuwa umelala vibaya, vilevile hata ulaji nao unachangia...wataalamu wa afya ya mwili wanaweza ongezea sana hapo...ukiangalia kwa upande wa Imani yako ni kukupa ujasiri.
 
Umesema ukilala sehemu nyingine inakua poa, Mi naona ufumbuzi ni kuhama ili mambo yasiwe mengi
 
Habari wanajamii wenzangu

Napenda kupata ushauri mara nyingi huwa inanitokea nakosa kabisa usingizi hadi usiku mwingi kuanzia saa 8 hivi kumetulia ndo vimbwangwa vinaanza napata usingizi wa ghafla alafu nakabwa na dude lisilojulikana nashindwa kufanya lolote nabaki nasali kimya kimya.

Baada ya muda naliona hilo linaondoka naona kama kivuli kiumbe ambacho hakina shape wala uwezi kuelezea umbile lake. Sasa naomba ushauri nifanye nini ili hali hii isiweze kunitokea maana inaninyima raha nikifikilia wakati ukifika wa kulala.
Pole sana hilo ni Pepo chafu nitafute mimi Kwa wakati wako ili nipate kuliondoa hapo unapoishi.
 
Habari wanajamii wenzangu

Napenda kupata ushauri mara nyingi huwa inanitokea nakosa kabisa usingizi hadi usiku mwingi kuanzia saa 8 hivi kumetulia ndo vimbwangwa vinaanza napata usingizi wa ghafla alafu nakabwa na dude lisilojulikana nashindwa kufanya lolote nabaki nasali kimya kimya.

Baada ya muda naliona hilo linaondoka naona kama kivuli kiumbe ambacho hakina shape wala uwezi kuelezea umbile lake. Sasa naomba ushauri nifanye nini ili hali hii isiweze kunitokea maana inaninyima raha nikifikilia wakati ukifika wa kulala.
Daa pole sana, mimi wakati naishi kigogo hali hiyo ilikuwa ikinitokea mara kwa mara ila c unajua cc ukanda wa Tanga huwa watu wa Tv fasta, nikaambia mwenye nyumba ameweka zindiko kubwa sana hapo, oyaa kwa asiye elewa hali hiyo anaweza kuona kama masihara ila usiombe, unaweza kufananisha na jinamiz kwa wanavyoita ila c kwa hali ile inayotokea, tena cku hiyo mmi ndo nakaribia kulala tu hiloo,
 
Wewe sio mtu wa ibada,
Na utakuwa umeshaenda kurandaranda kwa waganga,
Umevunja pazia la kiroho ndo maana unaona vitu AMBAVYO hatutakiwi kuona
Mrudie Mungu wako hakuna lingine.
 
Halafu ukilala kifudifudi haliji ee
ACHA kulala chali au kuweka mikoni shingoni
 
Iyo ishu ndogo marafiki zako wanga wanakuchezea kuwa MAKINI wakiona Huna kinga yoyote watakugeuza usiku shauri yako Hilo ni onyo. Kata mazoea na watu wote ambao Kila ukilala unawota Ndotoni. Huo ndio Masada wangu kwako.
Kuna mdada nlimwota ndotoni zaidi ya mara 5 hlfu si demu wangu, ni jirani yangu, namtamani ila simpendi kihivo, nashangaa kwann namuota ota, wakati kuna wadada wengine wazuri zaidi yake na nliwatamani zaidi yake, na sijawahi waota hata mara moja badison
 
Pole sana,

Wakati unaendelea kutafuta ufumbuzi zaidi wa tatizo lako jitahidi uwe na vyuma vya kufanya mazoezi ilikuweka mwili sawa madhara ya kukabwa na kukandamizwa usiku yanaleta magonjwa..

Na uchovu ambao utakufanya usijishughulishe na kazi yoyote kukicha, ukiamka mapema fanya mazoezi nyanyua vitu vizito, oga maji ya baridi ilikupunguza madhara zaidi mwilini.

Mungu akushindie.
 
Bro hizo ni popo bawa. Mbona dawa ndogo hivo.
1. Mfupa wa kitimoto
2. Vuta bangi
3. Mwaga ugoro kitandan
4. Lala na Bible
5. Tafuta kakakuona (kipande kidogo tu)

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom