Nakabwa usiku na kitu nisichokiona

Nakabwa usiku na kitu nisichokiona

Fua mashuka
Usile sana usiku
Usilalie upande wa kushoto
Acha kuangalia movie za kutisha usiku
Lala na demu usiku
Vuta bangi ikibidi
Kula kitimoto
asipende kuoga na kujipuliza pafyumu au kupaka mafuta yasiyoeleweka
 
Habari wanajamii wenzangu

Napenda kupata ushauri mara nyingi huwa inanitokea nakosa kabisa usingizi hadi usiku mwingi kuanzia saa 8 hivi kumetulia ndo vimbwangwa vinaanza napata usingizi wa ghafla alafu nakabwa na dude lisilojulikana nashindwa kufanya lolote nabaki nasali kimya kimya.

Baada ya muda naliona hilo linaondoka naona kama kivuli kiumbe ambacho hakina shape wala uwezi kuelezea umbile lake. Sasa naomba ushauri nifanye nini ili hali hii isiweze kunitokea maana inaninyima raha nikifikilia wakati ukifika wa kulala.
Usiwe unalala kwa mgongo. Jitahidi kulala kwa ubavu. Ubongo unakuwa unakuamsha kuwa kuna jambo halipo sawa mwilini hususani kukosa oxygen ya kutosha.
 
Hiyo n hali ya kisayansi tu unakua umelala vibaya mishipa yako ya fahamu unaibana ndo maana unakutana na hali hiyo lala vizur usisingizie wachawi
 
Eeeeh baba weeeh muda wa roll call huo andaa shingo.
 
Zishinde Kwa ibada,Sali unapolala.Najua hawapendi ila fanya Ivo wataacha wenyewe
 
Habari wanajamii wenzangu

Napenda kupata ushauri mara nyingi huwa inanitokea nakosa kabisa usingizi hadi usiku mwingi kuanzia saa 8 hivi kumetulia ndo vimbwangwa vinaanza napata usingizi wa ghafla alafu nakabwa na dude lisilojulikana nashindwa kufanya lolote nabaki nasali kimya kimya.

Baada ya muda naliona hilo linaondoka naona kama kivuli kiumbe ambacho hakina shape wala uwezi kuelezea umbile lake. Sasa naomba ushauri nifanye nini ili hali hii isiweze kunitokea maana inaninyima raha nikifikilia wakati ukifika wa kulala.
Ongeza maombi Mungu hajawahi kushindwa na jambo lolote
 
Habari wanajamii wenzangu

Napenda kupata ushauri mara nyingi huwa inanitokea nakosa kabisa usingizi hadi usiku mwingi kuanzia saa 8 hivi kumetulia ndo vimbwangwa vinaanza napata usingizi wa ghafla alafu nakabwa na dude lisilojulikana nashindwa kufanya lolote nabaki nasali kimya kimya.

Baada ya muda naliona hilo linaondoka naona kama kivuli kiumbe ambacho hakina shape wala uwezi kuelezea umbile lake. Sasa naomba ushauri nifanye nini ili hali hii isiweze kunitokea maana inaninyima raha nikifikilia wakati ukifika wa kulala.
Polee mkuu
Unaishi kwako au umepanga?
 
Usisahau kuomba dua kabla hujalala inasaidia kuondoa mauza uza kama hayo.
 
Ikifika mda wakulala jificha uvunguni likija likukose..au hamisha kitanda sehem nyingine au kamavipi hama kabisa
 
Back
Top Bottom