DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Hamjitambui nyie watu WA zahanati na hosptali mmeua Watu wengi sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
si kweliTatizo mnapenda sana rushwa alaf msivyo na aibu mnadai kabisa kama vile ni haki yenu..
Madaktari wengi hasa wanaohusika na uzazi wamegeuza hospital kuwa miradi yao binafsi.
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Unakanusha people don’t wait for two hours halafu unatumia all your time justifying the two hoursMODS USUNGANISHE UZI, NATAKA WATANZANIA WAELEWE CHANGAMOTO TUNAZOPITIA
Kuna mdau amelalamika sana kwamba ameenda hospitali ya Umma akakuta huduma ni mbovu na wagonjwa ni wengi sana ila watumishi wanapiga tu story mpaka wagonjwa wengine wanazidiwa mapokezi.
Amedai mgonjwa anapokelewa saa mbili ila hadi saa nne hajapata huduma yoyote!
Naomba nikanushe na nijibu tuhuma za mdau.
Mimi nimefanya kazi hospitali zaidi ya moja, tatizo kubwa linalosababisha huduma zizorote hospitali za Umma ni ufinyu wa wafanyakazi wala sio kwamba ni wazembe.
Mfano nautolea kuna hospitali zinahitaji watu zaidi ya 30 lakini unakuta wahudumu ni kumi tu.
Mfano hospitali ya kanda ya mtwara kiuhalisia inatakiwa kuwa walau na wafanyakazi 200 lakini mpaka sasa wapo chini ya 50 idadi ambayo haiendani kabisa na jumla ya wagonjwa wanaokuja hapo.
Nimefanya kazi hospitali moja yenyewe ni kituo cha wanafunzi kufanya mafunzo kwa viitendo, ile hospitali ni kama imetelekezwa wahudumu ni wanafunzi tupu.
Hospitali za vijijini mpaka raia wanaitwa wasaidie kutoa huduma, imagine zahanati nzima muhudumu mmoja, hana off hana masaa ya kazi hata saa saba usiku anaamshwa akazalishe anazalisha mtu saa kumi usiku, halafu asubuhi anatakiwa kazini! haya mambo yapo na tunayapitua sio story,
wahudumu wa afya wanafanya kazi kubwa sana tusiwabeze.
Mfano mwingine mdau amelalamika kua unaenda hospitali saa mbili hadi saa saba hakuna huduma yyte.
Kuna hospitali kubwa tu lakini unakuta ina maabara mbili tu, au moja kiasi kwamba watu zaidi ya 200 wanasubiri majibu toka maabara moja kwa wakati mmoja.
Muiambie serikali ya CCM iboreshe huduma za afya musisingizie kua watumishi ni wazembe.
Wodi moja usiku mmoja unakuata ina muuguzi mmoja! Mnataka afanyeje?
Mhudumu mmoja wagonjwa 70 unategemea huduma gani bora hapo?
Tusidanganyane hapa wala tusilaumu wwatumishi wa afya
Kuna hospitali niliwai kushangaa usiku mzima nesi ni mmoja wodi nzima tena ni mwanafunzi
Narudia tena tatizo sio sisi watumishi tatizo ni serikali yenu.
Shida inakuja pale mgonjwa yuko wodi A anaona hapati huduma anashangaa kuona watumishi wengine wako nje wanazunguka ambao hata huwenda hawahusikibna hyo wodi.
Mtu akiwa na mgonjwa akiona mhudumu yoyote anataka amhudumie bila kujua hospitalini kuna vitengo mbalimbali.
Hata watumishi wa umma wanatamani wawahudumie vizuri kama private tatizo ni kulemewa na majukumu private watumishi wengi, wagonjwa wachache.
Umma watunishi wachache sana wagonjwa wengi!
Msilaumu watumishi mpk kuwatukana wanafanya kazi nzuri sana
serikali inabidi iongezeje bajeti wizara ya afya wajenge miundombinu inayoendana na idadi ya watu pia waongeze watumishi, muone kama huduma zitakua za hovyo
Mungu ibariki Tanzania na watumishi wa Afya
hueleweki ulichoandika, huduma mbovu za hospitali za umma hazisababishwi na wahudumu, zinasababishwa na ufinyu wa rasilimali watuUnakanusha people don’t wait for two hours halafu unatumia all your time justifying the two hours
Madaktari mmekua na very low iq
First accept the problem, then justify why ili utoe solutions
Uwezo wa kipumbwa kabisa huu
Pole wagonjwa wako
Ni kweli upungufu wa watumishi upo, lakini pia uzembe na ubabaishaji nao ni mwingi sana. Uhalisia wa mambo sote tunaujua, haukuanzishwa na huyo mdau aliyetoa malalamiko hapa jukwaani, sote tunazijua huduma zinazotolewa kwenye hospitali zetu za umma: uzembe ni mwingi, wizi wa madawa na vitendea kazi, porojo nyingi, na kukosa kuwajibika. Wakati wa Mwendazake ufanisi uliongezeka kwa sababu yeye alikuwa hacheki na mtu.Lkn pia, Mwendazake aliwezaje kuwafanya mpunguze haya malalamiko ya wananchi.?
Si wanasema wakati wa jiwe eti hayakuwepo hayo!MODS USUNGANISHE UZI, NATAKA WATANZANIA WAELEWE CHANGAMOTO TUNAZOPITIA
Kuna mdau amelalamika sana kwamba ameenda hospitali ya Umma akakuta huduma ni mbovu na wagonjwa ni wengi sana ila watumishi wanapiga tu story mpaka wagonjwa wengine wanazidiwa mapokezi.
Amedai mgonjwa anapokelewa saa mbili ila hadi saa nne hajapata huduma yoyote!
Naomba nikanushe na nijibu tuhuma za mdau.
Mimi nimefanya kazi hospitali zaidi ya moja, tatizo kubwa linalosababisha huduma zizorote hospitali za Umma ni ufinyu wa wafanyakazi wala sio kwamba ni wazembe.
Mfano nautolea kuna hospitali zinahitaji watu zaidi ya 30 lakini unakuta wahudumu ni kumi tu.
Mfano hospitali ya kanda ya mtwara kiuhalisia inatakiwa kuwa walau na wafanyakazi 200 lakini mpaka sasa wapo chini ya 50 idadi ambayo haiendani kabisa na jumla ya wagonjwa wanaokuja hapo.
Nimefanya kazi hospitali moja yenyewe ni kituo cha wanafunzi kufanya mafunzo kwa viitendo, ile hospitali ni kama imetelekezwa wahudumu ni wanafunzi tupu.
Hospitali za vijijini mpaka raia wanaitwa wasaidie kutoa huduma, imagine zahanati nzima muhudumu mmoja, hana off hana masaa ya kazi hata saa saba usiku anaamshwa akazalishe anazalisha mtu saa kumi usiku, halafu asubuhi anatakiwa kazini! haya mambo yapo na tunayapitua sio story,
wahudumu wa afya wanafanya kazi kubwa sana tusiwabeze.
Mfano mwingine mdau amelalamika kua unaenda hospitali saa mbili hadi saa saba hakuna huduma yyte.
Kuna hospitali kubwa tu lakini unakuta ina maabara mbili tu, au moja kiasi kwamba watu zaidi ya 200 wanasubiri majibu toka maabara moja kwa wakati mmoja.
Muiambie serikali ya CCM iboreshe huduma za afya musisingizie kua watumishi ni wazembe.
Wodi moja usiku mmoja unakuata ina muuguzi mmoja! Mnataka afanyeje?
Mhudumu mmoja wagonjwa 70 unategemea huduma gani bora hapo?
Tusidanganyane hapa wala tusilaumu wwatumishi wa afya
Kuna hospitali niliwai kushangaa usiku mzima nesi ni mmoja wodi nzima tena ni mwanafunzi
Narudia tena tatizo sio sisi watumishi tatizo ni serikali yenu.
Shida inakuja pale mgonjwa yuko wodi A anaona hapati huduma anashangaa kuona watumishi wengine wako nje wanazunguka ambao hata huwenda hawahusikibna hyo wodi.
Mtu akiwa na mgonjwa akiona mhudumu yoyote anataka amhudumie bila kujua hospitalini kuna vitengo mbalimbali.
Hata watumishi wa umma wanatamani wawahudumie vizuri kama private tatizo ni kulemewa na majukumu private watumishi wengi, wagonjwa wachache.
Umma watunishi wachache sana wagonjwa wengi!
Msilaumu watumishi mpk kuwatukana wanafanya kazi nzuri sana
serikali inabidi iongezeje bajeti wizara ya afya wajenge miundombinu inayoendana na idadi ya watu pia waongeze watumishi, muone kama huduma zitakua za hovyo
Mungu ibariki Tanzania na watumishi wa Afya
Mkuu hamna mtu wa kuacha mgonjwa eti akaenda kupiga story, ishu inakuja pale mgonjwa anataka huduma akiona mhudumu mwingine anapiga story anachukia bila Kujua huwenda muhudumu huyo hausiki kabisa kwenye kitengo icho! nakupa mfano nenda hosp ya umma utakuta wagonjwa 50 wako kwenye foleni wanataka kumuona dokta ambaye ni mmoja tu! hivi atawezaje kuwaacha akapige story?Mdau alisema mnapata muda wa kupiga stori. Hii nayo unasemaje?
Mkiwa hamtoshi ndio mkae mpige stori?
Kuna wahudumu wa hovyo kabisahueleweki ulichoandika, huduma mbovu za hospitali za umma hazisababishwi na wahudumu, zinasababishwa na ufinyu wa rasilimali watu
hivi ukae kwenye foleni watu 60 mnamsubiria kumuona daktari mmoja tatizo ni daktari au tatizo ni uhaba wa madaktari?
Mbaya zaidi wagonjwa wengi ni wamsamahaMODS USUNGANISHE UZI, NATAKA WATANZANIA WAELEWE CHANGAMOTO TUNAZOPITIA
Kuna mdau amelalamika sana kwamba ameenda hospitali ya Umma akakuta huduma ni mbovu na wagonjwa ni wengi sana ila watumishi wanapiga tu story mpaka wagonjwa wengine wanazidiwa mapokezi.
Amedai mgonjwa anapokelewa saa mbili ila hadi saa nne hajapata huduma yoyote!
Naomba nikanushe na nijibu tuhuma za mdau.
Mimi nimefanya kazi hospitali zaidi ya moja, tatizo kubwa linalosababisha huduma zizorote hospitali za Umma ni ufinyu wa wafanyakazi wala sio kwamba ni wazembe.
Mfano nautolea kuna hospitali zinahitaji watu zaidi ya 30 lakini unakuta wahudumu ni kumi tu.
Mfano hospitali ya kanda ya mtwara kiuhalisia inatakiwa kuwa walau na wafanyakazi 200 lakini mpaka sasa wapo chini ya 50 idadi ambayo haiendani kabisa na jumla ya wagonjwa wanaokuja hapo.
Nimefanya kazi hospitali moja yenyewe ni kituo cha wanafunzi kufanya mafunzo kwa viitendo, ile hospitali ni kama imetelekezwa wahudumu ni wanafunzi tupu.
Hospitali za vijijini mpaka raia wanaitwa wasaidie kutoa huduma, imagine zahanati nzima muhudumu mmoja, hana off hana masaa ya kazi hata saa saba usiku anaamshwa akazalishe anazalisha mtu saa kumi usiku, halafu asubuhi anatakiwa kazini! haya mambo yapo na tunayapitua sio story,
wahudumu wa afya wanafanya kazi kubwa sana tusiwabeze.
Mfano mwingine mdau amelalamika kua unaenda hospitali saa mbili hadi saa saba hakuna huduma yyte.
Kuna hospitali kubwa tu lakini unakuta ina maabara mbili tu, au moja kiasi kwamba watu zaidi ya 200 wanasubiri majibu toka maabara moja kwa wakati mmoja.
Muiambie serikali ya CCM iboreshe huduma za afya musisingizie kua watumishi ni wazembe.
Wodi moja usiku mmoja unakuata ina muuguzi mmoja! Mnataka afanyeje?
Mhudumu mmoja wagonjwa 70 unategemea huduma gani bora hapo?
Tusidanganyane hapa wala tusilaumu wwatumishi wa afya
Kuna hospitali niliwai kushangaa usiku mzima nesi ni mmoja wodi nzima tena ni mwanafunzi
Narudia tena tatizo sio sisi watumishi tatizo ni serikali yenu.
Shida inakuja pale mgonjwa yuko wodi A anaona hapati huduma anashangaa kuona watumishi wengine wako nje wanazunguka ambao hata huwenda hawahusikibna hyo wodi.
Mtu akiwa na mgonjwa akiona mhudumu yoyote anataka amhudumie bila kujua hospitalini kuna vitengo mbalimbali.
Hata watumishi wa umma wanatamani wawahudumie vizuri kama private tatizo ni kulemewa na majukumu private watumishi wengi, wagonjwa wachache.
Umma watunishi wachache sana wagonjwa wengi!
Msilaumu watumishi mpk kuwatukana wanafanya kazi nzuri sana
serikali inabidi iongezeje bajeti wizara ya afya wajenge miundombinu inayoendana na idadi ya watu pia waongeze watumishi, muone kama huduma zitakua za hovyo
Mungu ibariki Tanzania na watumishi wa Afya
Mishahara yao hata siyo mikubwa ya kutisha isipokuwa ni siasa tupu, pia hawana hata posho zaidi ya call allowance ambazo ni elfu 10,000 kwa siku nazo kutoka ni mbinde haswaUtawasikia wanasema kasomee afya kazi zake ni za heshima na malipo mazuri ila ukiwaona wamepauka sana kuliko sisi Administrators wa Taasisi za Serikali.