Nakanusha: Hospitali za Umma hazipendi kutoa huduma mbovu isipokuwa majukumu yanawalemea

Hamjitambui nyie watu WA zahanati na hosptali mmeua Watu wengi sana.
 
Unakanusha people don’t wait for two hours halafu unatumia all your time justifying the two hours

Madaktari mmekua na very low iq

First accept the problem, then justify why ili utoe solutions

Uwezo wa kipumbwa kabisa huu

Pole wagonjwa wako
 
Unakanusha people don’t wait for two hours halafu unatumia all your time justifying the two hours

Madaktari mmekua na very low iq

First accept the problem, then justify why ili utoe solutions

Uwezo wa kipumbwa kabisa huu

Pole wagonjwa wako
hueleweki ulichoandika, huduma mbovu za hospitali za umma hazisababishwi na wahudumu, zinasababishwa na ufinyu wa rasilimali watu

hivi ukae kwenye foleni watu 60 mnamsubiria kumuona daktari mmoja tatizo ni daktari au tatizo ni uhaba wa madaktari?
 
Lkn pia, Mwendazake aliwezaje kuwafanya mpunguze haya malalamiko ya wananchi.?
Ni kweli upungufu wa watumishi upo, lakini pia uzembe na ubabaishaji nao ni mwingi sana. Uhalisia wa mambo sote tunaujua, haukuanzishwa na huyo mdau aliyetoa malalamiko hapa jukwaani, sote tunazijua huduma zinazotolewa kwenye hospitali zetu za umma: uzembe ni mwingi, wizi wa madawa na vitendea kazi, porojo nyingi, na kukosa kuwajibika. Wakati wa Mwendazake ufanisi uliongezeka kwa sababu yeye alikuwa hacheki na mtu.
 
Nimeshtushwa na kutanabahishwa na huduma ya maternity mnazi mmoja Dar es salaam . Sijaamini kabida .wako special sijui ni mradi wa UN ama naota maana wanajali ,wanakumbusha kina mama kwa simu kuhidhuria clinic na wanahakikisha hawamiss kitu .mi bado sijaamini kama ni ya serikali
 
Tena huku hospitali za wilaya huduma ni mbovu zaidi
 
Si wanasema wakati wa jiwe eti hayakuwepo hayo!

Wafuasi wa mwendazake
 
Mdau alisema mnapata muda wa kupiga stori. Hii nayo unasemaje?

Mkiwa hamtoshi ndio mkae mpige stori?
Mkuu hamna mtu wa kuacha mgonjwa eti akaenda kupiga story, ishu inakuja pale mgonjwa anataka huduma akiona mhudumu mwingine anapiga story anachukia bila Kujua huwenda muhudumu huyo hausiki kabisa kwenye kitengo icho! nakupa mfano nenda hosp ya umma utakuta wagonjwa 50 wako kwenye foleni wanataka kumuona dokta ambaye ni mmoja tu! hivi atawezaje kuwaacha akapige story?
 
Kuna wahudumu wa hovyo kabisa

Usitafute chaka la kuficha uzembe na uovu wenu

Acha audits za quality ziwaweke watu bayana

Punbaf kabisa
 
Mbaya zaidi wagonjwa wengi ni wamsamaha
 
Utawasikia wanasema kasomee afya kazi zake ni za heshima na malipo mazuri ila ukiwaona wamepauka sana kuliko sisi Administrators wa Taasisi za Serikali.
Mishahara yao hata siyo mikubwa ya kutisha isipokuwa ni siasa tupu, pia hawana hata posho zaidi ya call allowance ambazo ni elfu 10,000 kwa siku nazo kutoka ni mbinde haswa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…