Nakanusha: Hospitali za Umma hazipendi kutoa huduma mbovu isipokuwa majukumu yanawalemea

Halafu wako watu wanasifia kila kitu eti Nani wa kushindana na Rais Samia wakati wananchibwanapata huduma mbovu!!
waTanzania hatukui.??
 
Umejibu kipumbavu sana, hembu nyamaza usiaibishe ukoo wako
 
sahihi kabisa
 
In nature binadamu tupo positive and Negative, Lakini Kuna haja ya watumishi wa umma kuwa civilized zaidi licha ya changamoto wanazokumbana nazo
 
Pamoja na huzo changamoto, hujanishawishi.

Tabia zenu ni mbaya. Mnapenda kuhusudiwa. Mnadai vizawadi kimtindo. Nisipotoa next time sipewi huduma zilizochangamka.

Mna nyodo na dharau, mnajiona dodo sana.

Aisee!! Kada ya afya mnajiona na kuwaona wengine hawana akili.

Badilikeni
 
Endelea kujitetea, unadhani kuna kitu wananchi hawana ufahamu juu ya utendaji wa watumishi wa afya kwenye hospitali za Serikali? Yote yanafahamika tena mkoa wa Mtwara ndio usiongee neno kabisa mentioning Ligula hospital….
 
Kama kila mmoja anajitetea kutotimiza wajibu wake kwa kigezo cha wingi wa watu, basi hakutakuwa na ufanisi ktk sekta yoyote.
Hata serikali kuu nao watajitetea kutoleta maendeleo kwasababu ya idadi kubwa ya watu na changamoto nyingine. Watumishi wa umma, Walimu, bankers, na watoa huduma wengine hupitia changamoto lakini wanajitahidi kutoa huduma bora.
 
Na ujinga zaidi sensa znafanywa kuweza kutambua mambo kama haya..!!! Lakini data zipatikanazo kwenye sensa huwa zinabaki kwenye makabrasha tu
 
Si kweli, hiyo labda ni tabia ya mtu kivyake, na hao watu wa hivyo wapo sikatai but sio wahudumu wote na wapo kila sehemu sio afya tu
 
Kwahiyo pichani mhudumu amepata dharura
 
Hapo hamna CO wala nurse muhudumu wa afya ni yule anayevaa jani la mgomba kifupi yule anaitwa medical attendant kazi yake inaishia kujiandaa mgonjwa na Dakar tu wala siyo kujibu. Lakini ndo wamejaa huko vijijini
Na huo ni mwaka tunaambiwa kulikuwa na mzee wa LEGACY
 
Kazi iendelee,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…