Kwa majonzi makubwa sana naomba niongee yafuatayo.
Mimi kwa majina ni Yusuph Peterson kama kuna wanaosikiliza radio Tbc fm jumapili niliweka ombi langu kwenye kipindi cha Klabu marafiki.
Mimi niko Hapa cho cha Tabibu Wasaidizi Kigoma.
Mwenzenu nimesona kidato cha kwanza mpaka cha 4 kwa msaada wa Serikali japo ulikuwa wa kusuasua,nikaenda f5 na f6 Ifunda Tech,nikafaulu kwa kiwango kisicho kibaya yaani dvs III lakini kutokana na uwezo mdogo nilituma maombi wizara ya afya nikafanikiwa kuletwa chuo hiki. Lakini cha kusikitisha nimelipa mahitaji yote ya semista ya kwanza na hyo niliyolipa ni ambayo nimetafuta mara tu nilipomaliza kidato cha sita mwaka jana. Sasa ndo hapo sina la kufanya maana hata ya kulipa semista ijayo sina. Na halmashauri ya Kasulu ilinilipia mara moja tu nilipokuwa kidato cha tano. Naombeni msaidie namna ambavyo ninaweza kufanikiwa km unaweza kumfahamu wa kutoa udhamini basi nisaidieni. Kwa ajili ya Umaskini karibia nitaondolewa Chuoni. Toka niliweke Tbc fm ndo hakuna msaada kabisa ila Mdada mmoja aliye nisaidia sh 10,000/ namshukuru sana dada huyo wa dodoma. Ada ni 550,000/ kwa mwaka.
Mawasiliano yangu ni
simu: 0763631449 au 0789958440
email: ypkisunzu@gmail.com