Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,713
- Thread starter
-
- #341
Tiba zipo tofauti za anxiety:Asante sana kwa uchambuzi murua, endelea kubarikiwa, sasa nn tiba ya anxiety au fear?
Anachoma sindano gani?akiumwa na tonsils probably ana infection(bacterial/viral) au inflammation so ni muhimu ichukuliwe culture ya kwenye koo na vipimo vya damu ili apate tiba sahihi!Please mkuu msaada wa haraka mke wangu anasumbuliwa na tosess koo linauma sana! Amechoma sindano hazimsaidii naomba kujua zinasabishwa na nini na tiba yake ni nini zinamsumbua kwa muda mrefu kama 10 yrs! Huwa zibaibuka mara zinapotea nisaidie dawa ya kutibu kabisa.
Anachoma sindano gani?akiumwa na tonsils probably ana infection(bacterial/viral) au inflammation so ni muhimu ichukuliwe culture ya kwenye koo na vipimo vya damu ili apate tiba sahihi!
Kwikwi ni involuntary action inayotokea kunapokuwa na contraction ya diaphragma muscle na vocal cords.Naomba tiba ya ugonjwa wa kwikwi
Hellow wapendwa,
Nakaribisha maswali yoyote kuhusu dawa zozote zenye active ingredients (DRUGS). Kama una maswali kuhusu matumizi yake, matumizi yake pamoja na dawa nyingine, vyakula (interactions), athari zake (side effects) au hata kama unataka kujuzwa jinsi dawa inavyofanya kazi kutibu ugonjwa!!
Karibuni sana..
Hello mkuu,Nina tatizo la kutokwa na vipele au chunusi wakat wa ovulation na siku nikiwa nakaribia period inakuwa zaidi kama ndio nimebaleghe! Samahan naweza fanya nn kuondokana na hadha hii na type ya ngozi ni ngozi ya mafuta
Bio oil si dawa, haina active ingredient!!!Hio ni cosmetic mkuu!!Matumizi ya Bio Oil,ufanyaji wake kazi pamoja na side effects kama zipo
Bio oil si dawa,haina active ingredient!!!Hio ni cosmetic mkuu!!
Sawa mkuu,ila niliambiwa inaweza kuremove scars katika ngozi.Naomba kujua kama inaeffect yeyote kwa rangi ya ngozi na kama ni kweli inafanya kazi ili nijue kama naitumia au la
Ndio inasemekana inapunguza ukali wa makovu,stretchmarks na kusaidia kama rangi yako ya ngozi si moja kuwa rangi moja!(balance skin tone)
Nenda kwa daktari wa macho inawezekana unahitaji miwani.Naulizia dawa ya ugonjwa wa macho yani ukavu macho nakuwa sioni vizuri mtu anapokuwa mbali mpaka nimsogelee ndipo namtambua vizuri
Hello displayname,Safi kwa kazi nzuri sana kutujuza sisi watumiani na wenye madukuduku ya matumizi ya dawa nk....
Nidadavulie hii kitu hufanyaje kazi "Anesthesia" je hutumika hospital tu au na kwa majasusi...nikipata sikia wakati wa ukombozi wa Afrika ya Kusini makabulu waliitumia kwa watu wapigania uhuru ili wavujishe siri zao za ukombozi.
Na kuna mahusiano gani kati ya kuvuuta pumzi kwa nguvu wakati unanaandaliwa na kwa hiyo kitu General Anesthesia?!
#gorgeousmimi
Hello displayname,
Hakuna ulazima wa kuvuta pumzi kwa nguvu ukiwekewa anaesthetic unatakiwa uvute pumzi kawaida tu.Na si anaestethic zote zi za pumzi(General anaesthetics),kuna nyingine ni sindano na nyingine ni local anaesthetics ambazo zinafanya kazi pale zinapohitajika tu.Na ya kuvuta pumzi ni halogens mfano isofluran au sevofluran ambayo inatoa complete anaesthetic effect kama consiousness,inarelax muslces na kuondoa maumivu vilevile.Kawaida inachanganywa na nitrogendioxide ,sedatives,opoid analgetics,na neuromuscular blockers.
Anaesthetics zipo tofauti in potency,duration of action ,toxicity ,ability to penetrate the mucous membrane.
Jinsi zinavyofanya kazi ni very complicated.Nitajaribu kufafanua kwa urahisi.Most of anaesthetics are weak bases that only exits in protonated form at body pH.They penetrate the nerve in a non-ionized(lipophilic )form but one inside the axons some ionized molecules are formed and these block the Na+ channels preventing the generation of action potentials and prevent opening of h-gates(by increasing inactivation)They cause a reversible block of conduction along nerve fibers.
Kuhusu matumizi yake kwenye kuvujisha siri naweza kusema unwanted effect inaweza kutumika.One of the side effect is on the central nervous system it produces sedation,light headedness,haswa kile kipindi ambacho unaamka unakuta mtu anabwabwaja tu kwasababu unakuwa half consious au anaesthetic kama Ketamine ni mojawapo ambayo haitumiki sana siku hizi lakini inaweza kusababisha vivid dreaming,illusions,extracorporeal experience.Wanaopatiwa anaesthetic hii wanakuwa macho na wanaweza kucontrol baadhi ya reflexes za kimwili.
Hello mkuu,
Gonadotropes(GONADOTROPIN-RELEASING HORMONE)GnRH ni hormone inayozalishwa kutoka kwenye anterior pitutiary iliyopo kwenye hypothalamas(ubongo).Gondotropes inatoa vichocheo vinavyofanya kazi kwenye mfumo wa uzazi wa kike(ova) na wa kiume(testes).FOLLICLE STIMULATING HORMONE(FSH) ni hormone mojawapo inahusika uzalishaji wa mbegu za kiume.LUTENIZING HORMONE (LH)ni hormone nyingeneyo inayochochea interstital cells of leyding zilizopo kwenye testes kusecrete testosterone(hormone ya kiume).
Azoospermia ni ugonjwa unaotokea pale mwanaume anapokuwa hana sperm count zinazohesabika kwenye semen.Huu ugonjwa umegawanyika kwenye makundi makubwa matatu
View attachment 240208
- Pretesticular azoospermia:Kundi hili wanakuwa na hypogondatrope hypogonadisme ambapo hawana release ya kutosha ya gonadotropin-releasing hormone kutoka kwenye ubongo.Wanakuwa na low levels ya FSH,LH na testosterone.Tiba ni kwa gonadotropinderivates/analogue.
- Testicular azoospermia:Kundi hili aidha kuna abnormality kwenye testes,mapungufu kwenye uzalishaji wa mbegu za kiume au hata kutokuwepo uzalishaji kabisa.Level za FSH/LH zinakuwa juu na kusababisha Hypergondatrop hypogonadism.Abnormality kwenye testicles inasababisha mbegu kutoweza kupevusha ipasavyo.Testicular retention ni sababu nyingeneyo ambayo watoto wa kiume wanazaliwa nayo.Geminal cells zipo sensitive na temperature na ndio maana mbegu zinakuwa defect na kuharibika kabla hazijafika kwenye korodani.
- Posttesticular azoospermia:Kundi hili wanatengeneza mbegu lakini hazitoki through ejaculation.Na wapo wanaozaliwa na mapungufu ya vas deferens(njia ya kutolea ejaculation)(Congenital bilateral absence of the vas deferens) au retrograd ejaculation ambapo mbegu za kiume baada ya kwenda kwenye urethra zinaenda kwenye urinary bladder na kusababisha mbegu kuwepo kwenye mkojo.Tiba ni dexbromfeniramin kwa wenye retrograd ejaculation.
View attachment 240194
**Anejaculation:ni uwezo wa kutozalisha mbegu kwa wanaume
**Orichitis:Inflammation kwenye testes inayosababishwa na infection kama STD´s n.k
**Vasectomy:Njia ya kufunga kizazi kwa wanaume
**Epididimytis:inflammation kwenye eneo ambazo mbegu za kiume zinazalishwa na kuegeshwa.Inasababisha maumivu,kuvimba na korodani kuwaka moto.
View attachment 240203
Pretesticular na posttesticular azoosermia vinarekebisihika lakini testicular ni irreversible and permanent.Tiba mojawapo ni kwa IVF(In vitro fertilization) + ICSI(Intro cytoplasmic sperm injection).Ambapo mbegu zinachukuliwa kutoka kwenye testicles na kutumika kuegesha ujauzito.