Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,683
- Thread starter
-
- #481
habari zenu wanajf wote...
Doctor naomba msaada wako katika swala lifuatato
mwanamke kafanya mapenzi akiwa katika period ya menstruation sasa damu zinakata mara baada ya siku kadhaa zinatoka tena na inakuwa mara kwa mara ..... je kunanjia ya kuliondoa tatizo hilo?
kama ndio ni kwa namna gani?
msaada wako tafadhali
Nice time Doctor
Bonyeza hapa: https://www.jamiiforums.com/jf-doct...wilini-mara-kwa-mara-chanzo-tiba-ushauri.htmlTiba ya kuzuia jasho mikononi?
tumbo kuuma,kuhara,kupatwa na kichechef au hata kutokupata choo.Ukiwa unatumia antibiotic ni muhimu umalize cure yote.Ni kawaida ukianza matumizi y.Unatatizwa na athari gani ya ampiclox?
Sikushauri utumie dawa mkuu fanya mazoezi hio ndio njia salama na kula vyakula healthy!!naomba msada kupunguza unene na kutoa kitambi kwa njia rahisi na za kisasa tahadhari
Sikushauri utumie dawa mkuu fanya mazoezi hio ndio njia salama na kula vyakula healthy!!
sawa naomba nijue mazoez gani na vyakula gani
Ni aghalabu kwa mtoto wa miezi 4 kupata UTI nakushauri ukaonane na daktari atakupatia tiba sahihi...dawa ni kama za wakubwa lakini dosage inakuwa ya watoto na formulation inakuwa inayoweza kutumika kwa watoto mfano kimiminika.Dr dawa sahihi ya uti kwa mtoto wa miezi 4 ni ipi? Pia anachubuka ktk ya mapaja nimpake nini coz wanasema poda sio nzur,
Pamoja sana mkuu!!Asante mkuu gorgeousmimi
Condom haina madhara.naomba kujuzwa madhara ya kutumia dawa za uzaziwa mpango kwa m2 ambaye hajazaa .
pia naomba kujua madhara ya kutumia condom kila mara
Vyakula kama mboga za majani na matunda vina fibers nyingi.Proteins kama samaki na nyama nyeupe (mfano kidari cha kuku) au kama nyekundu mfano filet/biff ni nzuri.Ni vyema vyakula hivi kuliwa vikiwa vimechemshwa au vimechomwa epuka kula mikaango.Epuka kula nafaka zilizokobolewa mfano vyakula vinavyotengenezwa kutoka kwenye unga mweupe wa ngano kama loff bread n.k.Vyakula vya jamii ya kunde ni vizuri mfano maharage,choroko,mbaazi n.k.
Epuka kula vyakula vyenye starch nyingi mfano viazi na mihogo
Epuka kula refined sugars..kula matunda yana sukari asilia,Ukinywa chai usitumie sukari!
Hakikisha ukila unagawa portion ya 1/3 kwenye sahani mfano 1/3 mboga,1/3 protein na 1/3 carbohydrate.Kunywa bilauri mmoja ya maji kabla ya milo.Usile masaa 3 kabla ya kulala.
Kula milo 3-4 kwa siku
Mazoezi unayoweza kuanza nayo ni simple jogging na ukitaka kujenga misuli nenda gym watakupa muelekeo zaidi.