Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,683
- Thread starter
- #561
Umeuliza swali gani?Wakuu nimeuliza swali langu muhimu kuhusu mustakabali wa afya yangu. Nimejibiwa sina Permission ni ipi hiyo? Nijuzeni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeuliza swali gani?Wakuu nimeuliza swali langu muhimu kuhusu mustakabali wa afya yangu. Nimejibiwa sina Permission ni ipi hiyo? Nijuzeni
Lilikuwa linahusu matatizo yangu ya vidonda vya tumbo. Maelezo yalikuwa marefu kidogo huenda ndiyo iliyosababisha hivyo.
thanks my dearHello again,Hilo tatizo linaendana na kutoka udenda/ugavu na inaweza kusababishwa na kuongezeka kwa production ya mate au kupungua kwa uwezo wako wa kumeza au kuzuia mate mdomoni.Hali hio inaweza kusababishwa na vitu vingi kama
Nakushauri uende kwa daktari ukachekiwe reflex zako za kumeza ka zipo sawa.Kitu kingine ni kwamba mdomo ukiwa wazi una stimulate salivary glands kuproduce mate zaidi na ndio maana ukila ukiongea unameza zaidi...hio inapelekea mate kuongezeka hasa ukilala mdomo wazi!
- matumizi ya dawa kama clozapin,clonazepam,carbidopa/levodopa au
- stomatitt(infection kwenye mucosa ya mdomo),
- Gastroesophagel reflux disease(GERD) au
- infection kwenye mdomo/koo.
Hata mimi pia nimeona ahsante sana mpenzi!!Najisikia tu nikupe like kila time yani!mungu akulinde daima mama@gorgeousmimi
DawaNaomba msaada wako Dr,
mimi ninatatizo la kuumwa mgongo mwaka wa saba sasa bila kupata ufumbuzi wa tiba kamili,
nilienda muhimbili nikafanya citscan ikaonyesha baadhi ya pingili za uti wa mgongo zinagusana eneo la chini ya mgongo,nilipewa dawa lakini hazikunisaidia,naomba msaada wako nitumie dawa gani?
nashukuru kwa ufafanuzi kuhusu tiba,
swali lingine ni kwamba nahisi magoti yangu sehem za joint nikichuchumaa zinauma nakutoa milio flan hivi,je hizi dawa zinaweza tibu na hili tatizo?
Nahisi kama ninaupungufu wa calcium mwilini. Naomba msaada wako mkuu.
Hizo sehem za magot zimevimba?zina joto na je upo stiff yaani ni shida kusimama tena mfano ukiwa umechuchumaa?na je ukiwa on movement tena unapata nafuu?
Sikiliza ushauri wa daktari na wasiliana na mwanasaikolojia!Samahani mkuu mm nnatatizo la kuumwa korodana sana Mara kwa Mara nliwah kuenda hospital lkn dct akaniambia nna natatizo ya kisaikolojia kitu ambacho kmenkatsha tamaa naomba msaada /ushaur wako
Hello mkuu Triple A,nikiwa on movement sisikii maumivu yoyote na magoti hayajavimba,yanauma pale napochuchumaa na ninaponyanyuka, inakuwa kama nakosa nguvu katika magoti,naomba msaada wako dr.

Hello mkuu Triple A,Kutokana na dalili ulizoniorodheshea nitaongelea kuhusu magonjwa mawili Osteoarthitis na rheumatoid arthritis.
Osteoarthritis unasababishwa cartilage iliyopo kati ya mifupa ua magoti kulika na kupungua elasticity.Hii catilage ndio inayopunguzia uzito mifupa na muepuka misuguano kati ya mfupa na mafupa.Ugonjwa huu ni kawaida kuwapata watu walio na umri wa miaka 60 na kuendelea.Dalili zake ni maumivu na stifness.
Rheumatoid arthritis ni ugonjwa mwengine unaosababishwa na inflammation ya synovial membrane.Hali hii inasababisha kuongenzeka kwa inflammation tissue na mifupa kulika.Eneo liloathirika linakuwa limevimba,stiff na linauma haswa kipindi cha asubuhi,ukitembea au ukikaa muda mrefu bila kufanya kitu.Maumivu ya asubuhi yanakuja kila siku na yanakuwepo kwa muda wa lisaa limoja.Ni kawaida dalili zinaaza kwenye magoti,mikono na kuhamia kwenye maeneo mengine ya mwili kama shingoni na mgongoni
View attachment 247640
Ni muhimu kufanyiwa vipimo na daktari vya damu,rheumatoid factor na anti-CCP na vya kawaida ili uhakika upatikane.
Tiba ya Osteoarthitis ni pain killers kama paracetamol,NSAID´s na glucosamin.
Tiba ya Rheumatoid arthitis zimegawanyika makundi mawili.
- Za kupunguza dalili za ugonjwa nazo ni painkillers kama paracetamol,tramadol,NSAID´s na Glucocorticoids mfano prednisolon
- Za kupunguza progression ya ugonjwa nazo ni sulfasalazin,methotrexate,hyroksychlorokin,azatioprin au TNF-ALFA blockers kama abatacept,tocilizumbah,rituximab na kuendelea.
Neotestosterone ni dawa inayotumika kutibu growth and development of male sex characteristics, increases protein anabolism, and decreases protein canabolism.Dr gorgeousmimi naomba kujua dawa ya Neostesterone inavyofanya kazi, Asante
Prednisolone ni sythethic glucocorticoid ambayo inafanya kazi kwa kustimulate glucocorticoid receptor iliyopo kwenye cells tofauti za mwili.Glucocorticoid inapunguza inflammation response:Inapunguza inflammation kwa kupitia vyanzo kadhaa mfano inapunguza release ya chembechembe zinazosababisha inflammation itokee.
Glucocorticoid inatengenezwa pia mwilini kwenye adrenocortopic hormone.Ukiwa unatumia glucocorticoid bila mpangilio hasa systemic inasababisha negative feedback kwenye kwahio uzalishaji wake kwenye pitutary glands una pungua.Unaweza kuepka hilo kwa kula dawa wakati wa asubuhi kwasababu production ya cortisol mwilini inakuwa juu asubuhi ili kuepuka adrenal suppression.Na ukiwa unataka kuacha kutumia dawa unaacha kwa kuwithdraw taratibu kwa wiki kadhaa,ukiacha ghafla tu mwili hautopata muda kwa kuanzisha utengenezaji wa glucocorticoid kama awali kwenye pitutary glands na inaweza kupeleka dalili za ukosaji wa glucocorticoids ambayo hupeleka maumivu kwenye joints and muscles.
Glucocorticoid inafanya kazi kwenye baadhi ya viungo kama mifupa inazuia osteoblast kwenye bone tissue na kupeleka kuongezeka kulika kwa bone tissue na kupeleka kusababisha ugonjwa kama OSTEOPOROSIS ni sideeffect mmojawapo ya matumizi ya glucocorticoid kwa muda mrefu.