Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Lilikuwa linahusu matatizo yangu ya vidonda vya tumbo. Maelezo yalikuwa marefu kidogo huenda ndiyo iliyosababisha hivyo.
 
Lilikuwa linahusu matatizo yangu ya vidonda vya tumbo. Maelezo yalikuwa marefu kidogo huenda ndiyo iliyosababisha hivyo.

Jaribu kupost upya mkuu!kama umepost jukwaani kuna uwezekano uzi wako umeunganishwa na uzi mwengine wa vidonda vya tumbo ambao umeshajadiliwa awali!!
 
Hello again,Hilo tatizo linaendana na kutoka udenda/ugavu na inaweza kusababishwa na kuongezeka kwa production ya mate au kupungua kwa uwezo wako wa kumeza au kuzuia mate mdomoni.Hali hio inaweza kusababishwa na vitu vingi kama
  • matumizi ya dawa kama clozapin,clonazepam,carbidopa/levodopa au
  • stomatitt(infection kwenye mucosa ya mdomo),
  • Gastroesophagel reflux disease(GERD) au
  • infection kwenye mdomo/koo.
Nakushauri uende kwa daktari ukachekiwe reflex zako za kumeza ka zipo sawa.Kitu kingine ni kwamba mdomo ukiwa wazi una stimulate salivary glands kuproduce mate zaidi na ndio maana ukila ukiongea unameza zaidi...hio inapelekea mate kuongezeka hasa ukilala mdomo wazi!
thanks my dear
 
Naomba msaada wako Dr,
mimi ninatatizo la kuumwa mgongo mwaka wa saba sasa bila kupata ufumbuzi wa tiba kamili,
nilienda muhimbili nikafanya citscan ikaonyesha baadhi ya pingili za uti wa mgongo zinagusana eneo la chini ya mgongo,nilipewa dawa lakini hazikunisaidia,naomba msaada wako nitumie dawa gani?
 
Naomba msaada wako Dr,
mimi ninatatizo la kuumwa mgongo mwaka wa saba sasa bila kupata ufumbuzi wa tiba kamili,
nilienda muhimbili nikafanya citscan ikaonyesha baadhi ya pingili za uti wa mgongo zinagusana eneo la chini ya mgongo,nilipewa dawa lakini hazikunisaidia,naomba msaada wako nitumie dawa gani?
Dawa
unazoweza kutumia ni za maumivu(neuropathic pain) tu mkuu kama
Antiepileptica kama

  • Nerontin(Gabapentin),
  • Tegretol(Carbamazepin),
  • Lyrica(Pregabalin),
Antiphychotics kama

  • Sarotex(amitriptylin) AU
  • Morfin(Oxycontin,oxycodone)/Morfin derivates kama codein phosphate .Hizo unaweza kuchanganya na pain killers za kawaida kama paracetamol 1g au ibuprofen 600mg.
  • Tramadol/Nobligan
 
nashukuru kwa ufafanuzi kuhusu tiba,
swali lingine ni kwamba nahisi magoti yangu sehem za joint nikichuchumaa zinauma nakutoa milio flan hivi,je hizi dawa zinaweza tibu na hili tatizo?

Nahisi kama ninaupungufu wa calcium mwilini. Naomba msaada wako mkuu.
 
nashukuru kwa ufafanuzi kuhusu tiba,
swali lingine ni kwamba nahisi magoti yangu sehem za joint nikichuchumaa zinauma nakutoa milio flan hivi,je hizi dawa zinaweza tibu na hili tatizo?
Nahisi kama ninaupungufu wa calcium mwilini. Naomba msaada wako mkuu.

Hizo sehem za magot zimevimba?zina joto na je upo stiff yaani ni shida kusimama tena mfano ukiwa umechuchumaa?na je ukiwa on movement tena unapata nafuu?
 
Samahani mkuu mm nnatatizo la kuumwa korodana sana Mara kwa Mara nliwah kuenda hospital lkn dct akaniambia nna natatizo ya kisaikolojia kitu ambacho kmenkatsha tamaa naomba msaada /ushaur wako
 
Hizo sehem za magot zimevimba?zina joto na je upo stiff yaani ni shida kusimama tena mfano ukiwa umechuchumaa?na je ukiwa on movement tena unapata nafuu?

nikiwa on movement sisikii maumivu yoyote na magoti hayajavimba,yanauma pale napochuchumaa na ninaponyanyuka, inakuwa kama nakosa nguvu katika magoti,naomba msaada wako dr.
 
Samahani mkuu mm nnatatizo la kuumwa korodana sana Mara kwa Mara nliwah kuenda hospital lkn dct akaniambia nna natatizo ya kisaikolojia kitu ambacho kmenkatsha tamaa naomba msaada /ushaur wako
Sikiliza ushauri wa daktari na wasiliana na mwanasaikolojia!
 
nikiwa on movement sisikii maumivu yoyote na magoti hayajavimba,yanauma pale napochuchumaa na ninaponyanyuka, inakuwa kama nakosa nguvu katika magoti,naomba msaada wako dr.
Hello mkuu Triple A,
Kutokana na dalili ulizoniorodheshea nitaongelea kuhusu magonjwa mawili Osteoarthitis na rheumatoid arthritis.

Osteoarthritis
unasababishwa cartilage iliyopo kati ya mifupa ua magoti kulika na kupungua elasticity.Hii catilage ndio inayopunguzia uzito mifupa na muepuka misuguano kati ya mfupa na mafupa.Ugonjwa huu ni kawaida kuwapata watu walio na umri wa miaka 60 na kuendelea.Dalili zake ni maumivu na stifness.

Rheumatoid arthritis
ni ugonjwa mwengine unaosababishwa na inflammation ya synovial membrane.Hali hii inasababisha kuongenzeka kwa inflammation tissue na mifupa/cartilage kulika.Eneo liloathirika linakuwa limevimba,stiff na linauma haswa kipindi cha asubuhi,ukitembea au ukikaa muda mrefu bila kufanya kitu.Maumivu ya asubuhi yanakuja kila siku na yanakuwepo kwa muda wa lisaa limoja.Ni kawaida dalili zinaaza kwenye magoti,mikono na kuhamia kwenye maeneo mengine ya mwili kama shingoni na mgongoni

arthritic_joints.jpg

Ni muhimu kufanyiwa vipimo na daktari vya damu,rheumatoid factor na anti-CCP na vya kawaida ili uhakika upatikane.Tiba ya Osteoarthitis ni pain killers kama paracetamol,NSAID´s na glucosamin.Tiba ya Rheumatoid arthitis zimegawanyika makundi mawili.
  • Za kupunguza dalili za ugonjwa nazo ni painkillers kama paracetamol,tramadol,NSAID´s na Glucocorticoids mfano prednisolon
  • Za kupunguza progression ya ugonjwa nazo ni sulfasalazin,methotrexate,hydroksychlorokin,azatioprin au TNF-ALFA blockers kama abatacept,tocilizumbah,rituximab na kuendelea.
 
Hello mkuu Triple A,Kutokana na dalili ulizoniorodheshea nitaongelea kuhusu magonjwa mawili Osteoarthitis na rheumatoid arthritis.

Osteoarthritis unasababishwa cartilage iliyopo kati ya mifupa ua magoti kulika na kupungua elasticity.Hii catilage ndio inayopunguzia uzito mifupa na muepuka misuguano kati ya mfupa na mafupa.Ugonjwa huu ni kawaida kuwapata watu walio na umri wa miaka 60 na kuendelea.Dalili zake ni maumivu na stifness.

Rheumatoid arthritis ni ugonjwa mwengine unaosababishwa na inflammation ya synovial membrane.Hali hii inasababisha kuongenzeka kwa inflammation tissue na mifupa kulika.Eneo liloathirika linakuwa limevimba,stiff na linauma haswa kipindi cha asubuhi,ukitembea au ukikaa muda mrefu bila kufanya kitu.Maumivu ya asubuhi yanakuja kila siku na yanakuwepo kwa muda wa lisaa limoja.Ni kawaida dalili zinaaza kwenye magoti,mikono na kuhamia kwenye maeneo mengine ya mwili kama shingoni na mgongoni

View attachment 247640
Ni muhimu kufanyiwa vipimo na daktari vya damu,rheumatoid factor na anti-CCP na vya kawaida ili uhakika upatikane.
Tiba ya Osteoarthitis ni pain killers kama paracetamol,NSAID´s na glucosamin.
Tiba ya Rheumatoid arthitis zimegawanyika makundi mawili.
  • Za kupunguza dalili za ugonjwa nazo ni painkillers kama paracetamol,tramadol,NSAID´s na Glucocorticoids mfano prednisolon
  • Za kupunguza progression ya ugonjwa nazo ni sulfasalazin,methotrexate,hyroksychlorokin,azatioprin au TNF-ALFA blockers kama abatacept,tocilizumbah,rituximab na kuendelea.

Nashukuru sana Dr wangu, MUNGU aendelee kukujalia kwani nimepata ufahamu kwa sasa najua pakuanzia,
Ubarikiwa sana.
 
Dr gorgeousmimi naomba kujua dawa ya Neostesterone inavyofanya kazi, Asante
 
Last edited by a moderator:
Habar zenu wadau!!!msaada plz,b4 givin birth alikua anapata blid iliyokua haina tareh kamili,kwa mfano mwez huu anapata tar 10 mwez ujao anapata tar 5 yan hurud nyuma,bt alipojifungua hakupata mzunguko wake takriban mwaka na alipopata mambo yalibadilika tena awali alipata tar 19 na mwez mwngne ikavuka mbele kwa cku 10 yan kutoka 19 had 29 je hapo kuna shda yoyote? Karibun mnijuze tafadhal
 
Dr gorgeousmimi naomba kujua dawa ya Neostesterone inavyofanya kazi, Asante
Neotestosterone ni dawa inayotumika kutibu growth and development of male sex characteristics, increases protein anabolism, and decreases protein canabolism.

Sina uhakika kama umechanganya noetestosterone na nortestosterone. Nortestosterone inatumika kwa watu wazima waliofikia post menopause kutibu osteoporosis na inaweza kutumika pia kwa aplastic anemia,na kama progestin(oral contraceptive).

Kama progestin inaweza kutumika kutibu amenorrhea,dysfunctional uterine bleeding, endometriosis, kama palliative treatment against endrrometial cancer, breast cancer and prostate cancer.
 
Prednisolone ni sythethic glucocorticoid ambayo inafanya kazi kwa kustimulate glucocorticoid receptor iliyopo kwenye cells tofauti za mwili.Glucocorticoid inapunguza inflammation response:Inapunguza inflammation kwa kupitia vyanzo kadhaa mfano inapunguza release ya chembechembe zinazosababisha inflammation itokee.
Glucocorticoid inatengenezwa pia mwilini kwenye adrenocortopic hormone.Ukiwa unatumia glucocorticoid bila mpangilio hasa systemic inasababisha negative feedback kwenye kwahio uzalishaji wake kwenye pitutary glands una pungua.Unaweza kuepka hilo kwa kula dawa wakati wa asubuhi kwasababu production ya cortisol mwilini inakuwa juu asubuhi ili kuepuka adrenal suppression.Na ukiwa unataka kuacha kutumia dawa unaacha kwa kuwithdraw taratibu kwa wiki kadhaa,ukiacha ghafla tu mwili hautopata muda kwa kuanzisha utengenezaji wa glucocorticoid kama awali kwenye pitutary glands na inaweza kupeleka dalili za ukosaji wa glucocorticoids ambayo hupeleka maumivu kwenye joints and muscles.
Glucocorticoid inafanya kazi kwenye baadhi ya viungo kama mifupa inazuia osteoblast kwenye bone tissue na kupeleka kuongezeka kulika kwa bone tissue na kupeleka kusababisha ugonjwa kama OSTEOPOROSIS ni sideeffect mmojawapo ya matumizi ya glucocorticoid kwa muda mrefu.

Naam Dr nimekupata kwa uzuri sana.

Mimi niliacha ghafla kutumia hizi prednisolone baada ya kuzitumia kwa mwaka hivi.

Ni kweli nahisi maumivu ya joints(magoti) since niachane nazo?

Je nikianza kuzitumia tena na kuziacha taratibu baada ya mwezi nitapona haya maumivu?

Kuziacha taratibu nameza vingapi baada ya muda gani?

Au nitumie dawa gani kutibu hili tatizo (joints kuuma) maana hizi za kuchua hazisaidii.

Halafu muda mrefu ni kuanzia mienzi/miaka mingapi?
Thanks in advance.
 
Back
Top Bottom