Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,683
- Thread starter
-
- #581
Naomba kujua kama ni tatizo au ni kawaida. kwenye epididimis nahisi kama kuna vivimbe lakini sina maumivu. ni muda sasa zaidi ya miaka 5. Ila nachelewa sana kupata ejaculation- inaweza kuwa hata zaidi ya dakika 30. Sina tatizo kwenye erection, iko vizuri tu na hainizuii kufurahia tendo. nini ninachoweza kufanya.
Mapunye ya wapi mkuu?Naomba kufahamishwa dawa ya uhakika ya kutibu mapunye ni ipi....
Je alishawahi kupata hedhi at all tangia abalehe?Nina binti yangu anaumri wa miaka 18 tatizo lake hapati hedhi ikifika mwisho wa mwezi tumbo lake linamuuma sana lakini hakuna chochote yaani yupo kama mwanaume.
Nenda kaonane na daktari si kawaida eneo hilo liwe na viuvimbe kama haviumi si inflammation it could be something else serious!
Hello NDAGLA,Nakushauri utumie coxibs mfano etoricoxib kwa magoti 30mg daily,usipopata nafuu tumia 60 mg daily.Kama unaanza tena kutumia prednisolon unapaswa utumie pia calsium tablets with vitamin D3 ukiwa unatumia dawa hio.Ukianza matumizi vilevile unapaswa ustep up mfano unaanza na dozi ndogo na kuongeza taratibu.Jinsi ya kustep down ni kupunguza 10-30% kila wiki au kila baada ya wiki mbili kama umeanza mfano na 5mg as highest dose unatakiwa ushuke mpaka 1,25 mg as lowest dose.Kawaida unapewa karatasi ya Gradual reduction.Nitaandika nikipata nafasi
Nakushauri umpeleke binti yako kwa daktari wa wanawake atakuwa na matatizo kwenye mfumo wake wa uzazi!hajawahi kupata hedhi tangu abalehe.
yuko kwenye tabu saana pindi ifikapo tarehe ambazo ninadhani kuwa ndo ilibidi awe kwenye siku za hedhi
NDAGLA kama hilo tatizo lipo kabla hujaanza kutumia dawa sina uhakika kama linaweza kuepukika ukitumia calcium tablets na ukistep up prednisolon.Ila utaepuka risk ya tatizo lako kuworsen na kama una shaka una osteoporisis tiba yake ni nyingine na unahitaji vipimo ili lihakikishwe hilo.Thanks alot Dr gorgeousmimi for such a useful thread.
Ina maana nikizianza tena hizi PREDINISOLONE na Ca tablets with Vitamin D3 kwa kustep up na kuziacha after a while kwa kustep down HAYA MAUMIVU YA VIUNGO HAYATA KUWEPO TENA?
Maana hizo Coxib (Etoricoxib,Celecoxib/Celebrex) nimezitafuta online ni very expensive na niko nje ya jiji for now so kuzipata pia si rahisi.
Kama hakiumi hakina madhara yoyote na huhitaji tiba.Vaginal cysts ni kiuvimbe kilicho na hewa, majimaji na hata vitu vingenevyo.Zipo aina tofauti kutokana na sababu tofauti.Habari dr,
Nini dawa ya viginal cyst,ninakipele kidogo ndani ya uke,ambacho mpaka niingize kidole ndo nakigusa,(nusu kidole) kwenye ukuta wa uke,hakiumi,nilienda kuonana na dr akakiangalia akasema ni ki -cyst.Nini dawa yake?Naomba msaada tafadhali.
Mapunye ya wapi mkuu?
Ni mapunye yanajitokeza sehemu tofauti tofauti mwilini hasa usoni please msaada mkuu
Neotestosterone ni dawa inayotumika kutibu growth and development of male sex characteristics,increases protein anabolism,and decreases protein canabolism.
Sina uhakika kama umechanganya noetestosterone na nortestosterone.Nortestosterone inatumika kwa watu wazima waliofikia post menopause kutibu osteoporosis na inaweza kutumika pia kwa aplastic anemia,na kama progestin(oral contraceptive).Kama progestin inaweza kutumika kutibu amenorrhea,dysfunctional uterine bleeding,endometriosis,kama palliative treatment against endrrometial cancer,breast cancer and prostate cancer.
NDAGLA kama hilo tatizo lipo kabla hujaanza kutumia dawa sina uhakika kama linaweza kuepukika ukitumia calcium tablets na ukistep up prednisolon.Ila utaepuka risk ya tatizo lako kuworsen na kama una shaka una osteoporisis tiba yake ni nyingine na unahitaji vipimo ili lihakikishwe hilo.Naomba kuuliza unatumia prednisolon kwaajili ya tatizo gani?