Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,683
- Thread starter
- #581
Hello NDAGLA,Nakushauri utumie coxibs mfano etoricoxib kwa magoti 30mg daily, usipopata nafuu tumia 60 mg daily.
Kama unaanza tena kutumia prednisolon unapaswa utumie pia calsium tablets with vitamin D3 ukiwa unatumia dawa hio. Ukianza matumizi vilevile unapaswa ustep up mfano unaanza na dozi ndogo na kuongeza taratibu.
Jinsi ya kustep down ni kupunguza 10-30% kila wiki au kila baada ya wiki mbili kama umeanza mfano na 5mg as highest dose unatakiwa ushuke mpaka 1,25 mg as lowest dose.
Kawaida unapewa karatasi ya Gradual reduction.
Nitaandika nikipata nafasi

Last edited by a moderator: