Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Naomba kufahamu hili tatizo ni nini na tiba yake, ninapokua kwenye jua mwili huwaashwa au mwili ukichemka mfano baada ya kukimbia linakuja ilo tatizo la kuwaashwa na vipele flani hivi ukivipasua vinatoa majii baada ya muda baada ya mwili kupoa vinaisha na ule muwasho unaisha. Msaada please!!
 
 
Tunaongelea dawa gani hapa za kurefusha maisha?
 
 
The elixir of life, I presume:becky:.
lol huachi Nyani Ngabu...hakuna dawa zinazoitwa za kurefusha maisha.

Kwanza inategemea mtu anatatizwa na nini. Hata dawa za ukimwi ni kwaajili ya kurefusha maisha,au magonjwa mengine kama parkinsons ni za kupunguza sickness progression na kurefusha maisha, kuna magonjwa mengi hayana dawa ya kuyaponya inabidi ule dawa maisha yako yote ili uudhibit ugonjwa na uishi maisha marefu.

Kitu kingine kuna watu wanajulikana watakufa baada ya muda flani mfano mtu mwenye cancer ya ubongo yaani wapo on terminal stage of life hawa wanapewa any strong painkillers ili waishi siku zao za mwisho painfree.

Na wakipewa dawa hizo haziangaliwi sideeffects kwasababu tayari inajulikana mtu anakufa kwahio priority ni kuondosha maumivu tu.Hizi strong pain killers mfano morphine (oxycodone,oxycontin) zikiwa overdosed zinaweza kupelekea respiration depression/kushindwa kupumua.
Cc Eddy mtatina
 
Last edited by a moderator:
dokta nina tatizo la kusikia crackle sound pindi ninapojinyonyoosha kwa ku-rotate trunk au during deep inhalation,saut inatokea kwenye vertebral column yapata miaka miwili na nilikuwa nikifanya masturbation,nn tatzo????je,nn tiba yake???
 

I think my extensor carpi radialis brevis is either torn or strained.

Will it heal itself or should I go see a doctor?
 
Dr. Niking'atwa na mdudu yeyote kama mbu,kiroboto huwa nawashwa sana na hospital wameshindwa kunipa tiba sahihi. Je tatizo nini hapa.
 
Je, kuna vyakula au vinywaji vinavyosaidia katika suala la saikolojia?

Nmekuwa na tatizo la kisaikolojia ambalo nimeshindwa kulitawala, kama kuna dawa au ushauri au matibabu yoyote kwa tatizo langu nifahamishe niliweke wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…