Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Naomba kufahamu hili tatizo ni nini na tiba yake, ninapokua kwenye jua mwili huwaashwa au mwili ukichemka mfano baada ya kukimbia linakuja ilo tatizo la kuwaashwa na vipele flani hivi ukivipasua vinatoa majii baada ya muda baada ya mwili kupoa vinaisha na ule muwasho unaisha. Msaada please!!
 
Hellow wapendwa,

Nakaribisha maswali yoyote kuhusu dawa zozote zenye active ingredients (DRUGS). Kama una maswali kuhusu matumizi yake, matumizi yake pamoja na dawa nyingine, vyakula (interactions), athari zake (side effects) au hata kama unataka kujuzwa jinsi dawa inavyofanya kazi kutibu ugonjwa!!

Karibuni sana..
Dr shukrani kwa ushauri huu mzuri
Nina tatizo la kuwashwa kwenye kichwa, kwa sehemu kuna mba ila pia kuna viupele vidogo vinavyotoa maji na usaa,kuwashwa huku pia kuko kuzunguka masikio ambapo vipo viupele vinavyowasha, kwa mwonekano ni vyekundu, mpaka sasa nimetumia dawa za kupata Senoderm na Gentrisone bila mafanikio, nikitumia Senoderm viupele vinapotea hata kwa wiki then vinarudi upya
Dr naomba ushauri wako nifanyeje kutibu tatizo hili,
 
Dr ningependa kupewa elimu sahii juu ya side effect ya dawa za kurefusha maisha, maana nina case mbili ambazo zinanipa maswali mengi, kuna watu wawili tofauti katika vipindi tofauti wote baada ya kutumia dose iliwapelekea kupoteza kumbukumbu, kuumwa sana kichwa, kupofuka macho na mwisho kabisa kifo; je dozi hizo zinaweza kupelekea yote hayo endapo zisipotumiwa sahii?
Tunaongelea dawa gani hapa za kurefusha maisha?
 
Hellow wapendwa,

Nakaribisha maswali yoyote kuhusu dawa zozote zenye active ingredients (DRUGS). Kama una maswali kuhusu matumizi yake, matumizi yake pamoja na dawa nyingine, vyakula (interactions), athari zake (side effects) au hata kama unataka kujuzwa jinsi dawa inavyofanya kazi kutibu ugonjwa!!

Karibuni sana..
Dr shukrani kwa ushauri huu mzuri
Nina tatizo la kuwashwa kwenye kichwa, kwa sehemu kuna mba ila pia kuna viupele vidogo vinavyotoa maji na usaa,kuwashwa huku pia kuko kuzunguka masikio ambapo vipo viupele vinavyowasha, kwa mwonekano ni vyekundu, mpaka sasa nimetumia dawa za kupata Senoderm na Gentrisone bila mafanikio, nikitumia Senoderm viupele vinapotea hata kwa wiki then vinarudi upya
Dr naomba ushauri wako nifanyeje kutibu tatizo hili,
unaonekana kama una infectious dermatitt.Unaweza kutumia betnovat with chinofom au utumie cortocosteroid separate pekee kama dermovat liniment. Kuna post ya nyuma nimeandika jinsi ya kustep down ukiacha kutumia corticosteroid group 3 and 4.
 
The elixir of life, I presume:becky:.
lol huachi Nyani Ngabu...hakuna dawa zinazoitwa za kurefusha maisha.

Kwanza inategemea mtu anatatizwa na nini. Hata dawa za ukimwi ni kwaajili ya kurefusha maisha,au magonjwa mengine kama parkinsons ni za kupunguza sickness progression na kurefusha maisha, kuna magonjwa mengi hayana dawa ya kuyaponya inabidi ule dawa maisha yako yote ili uudhibit ugonjwa na uishi maisha marefu.

Kitu kingine kuna watu wanajulikana watakufa baada ya muda flani mfano mtu mwenye cancer ya ubongo yaani wapo on terminal stage of life hawa wanapewa any strong painkillers ili waishi siku zao za mwisho painfree.

Na wakipewa dawa hizo haziangaliwi sideeffects kwasababu tayari inajulikana mtu anakufa kwahio priority ni kuondosha maumivu tu.Hizi strong pain killers mfano morphine (oxycodone,oxycontin) zikiwa overdosed zinaweza kupelekea respiration depression/kushindwa kupumua.
Cc Eddy mtatina
 
Last edited by a moderator:
dokta nina tatizo la kusikia crackle sound pindi ninapojinyonyoosha kwa ku-rotate trunk au during deep inhalation,saut inatokea kwenye vertebral column yapata miaka miwili na nilikuwa nikifanya masturbation,nn tatzo????je,nn tiba yake???
 
lol huachi Nyani Ngabu...hakuna dawa zinazoitwa za kurefusha maisha.Kwanza inategemea mtu anatatizwa na nini.Hata dawa za ukimwi ni kwaajili ya kurefusha maisha,au magonjwa mengine kama parkinsons ni za kupunguza sickness progression na kurefusha maisha,kuna magonjwa mengi hayana dawa ya kuyaponya inabidi ule dawa maisha yako yote ili uudhibit ugonjwa na uishi maisha marefu .Kitu kingine kuna watu wanajulikana watakufa baada ya muda flani mfano mtu mwenye cancer ya ubongo yaani wapo on terminal stage of life hawa wanapewa any strong painkillers ili waishi siku zao za mwisho painfree.Na wakipewa dawa hizo haziangaliwi sideeffects kwasababu tayari inajulikana mtu anakufa kwahio priority ni kuondosha maumivu tu.Hizi strong pain killers mfano morphine(oxycodone,oxycontin) zikiwa overdosed zinaweza kupelekea respiration depression/kushindwa kupumua.
Cc Eddy mtatina

I think my extensor carpi radialis brevis is either torn or strained.

Will it heal itself or should I go see a doctor?
 
Dr. Niking'atwa na mdudu yeyote kama mbu,kiroboto huwa nawashwa sana na hospital wameshindwa kunipa tiba sahihi. Je tatizo nini hapa.
 
Je, kuna vyakula au vinywaji vinavyosaidia katika suala la saikolojia?

Nmekuwa na tatizo la kisaikolojia ambalo nimeshindwa kulitawala, kama kuna dawa au ushauri au matibabu yoyote kwa tatizo langu nifahamishe niliweke wazi.
 
Back
Top Bottom