Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Natokwa na ute mzito mweupe kwenye uume na napata maumivu wakati wa kukojoa.sijui tatizo ni nn? naombeni ushauri
 
Naomba msaada juu ya Dawa za kienyeji ambazo zinapunguza unene na KITAMBI, Je hazina mazara kwa sasa au baadae....??
 
Nikimaliza kula dkka 10 lazima niende chooni alf naharisha kwa mda tatizo laweza kuwa nini
 
Mdogo wangu hana hamu kabisa kula yaani hapendo kabisa.Ana miaka14 nisaidie nipate dawa ya kuleta hamu ya kula kupita kiasi.
 
Natokwa na ute mzito mweupe kwenye uume na napata maumivu wakati wa kukojoa.sijui tatizo ni nn? naombeni ushauri

Wahi hospital kafanye urinalysis, uwenda umepata magonjwa ya zinaa
 

Kwa mwanamke kuanzia miaka 45na kuendelea uzalishwaji wa hormone ya oestrogen ambayo inasaidia kuongeza hamu ya tendo la ndoa inapungua kama si kuacha kabisa, hivyo tatizo la mkeo ni la kawaida, waone wataalam ambao watamsaidia kumaliza tatizo na kurudia katika hali yake mkuu,
 

Ahsante kwa ushauri
 
Je kuna ukweli wowote juu dawa za kimasai za kuongeza urefu na unene wa maumbile ya kiume?
 

Asante kwa majib barikiwa
 

Jaman pole dia
 
Jamani mm ninafangas za kichwa nimehangaika sana sijapata msaada ushauri wenu pls
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…