Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Hivi umbile dogo la uume linasababishwa na nini na kama una tatizo hilo unawezaje kulitatua?
 
Kuna wanaosema ni tunda kubwa kama water melon ila ukilila ni better kidogo na ni dawa nzuri sana kwa mambo mengi,na ndo mana nahitaji kulijua ndugu zanguni,!
 
Siyo kawaida mtu kupata fungus kwenye koo. Ingawa inawezekana kutokea, ila siyo jambo la kawaida. Sasa inapotokana mtu anakuja na fungus kwenye koo au mdomoni, cha kwanza kabla ya kuanza kutibu ni kuhakikisha kwamba ni fungus na pia kuangalia immunity (kinga ya mwili) ya mgonjwa husika. Mara nyingi fungus ya koo husababishwa na upungufu wa kinga ya mwili na inabidi uboreshe kinga ya mwili kwa kutibu kinachosababisha upungufu wa kinga hiyo pamoja na kutibu fungus. Usipofanya hivyo, hata ukitumia dawa ya fungus, inaweza isifanye kazi, au ikawa inajirudia rudia mara kwa mara.
 
habr naomba kujuzwa dalil za tetekuwanga pmja na tiba yake!leo sku ya 2kichwa kizito,kunavijipele vdgovdgo vimenitokea mwilin japo si vingi ila vinawasha na vinatoamaji,pianahic homa tumbo kuuma! msaada wenu tafhali
 
Hakuna namna nyingine ya kutibu jipu bila kulitumbua?
 
dokta nilizaa kwa opreshen mtoto wa kwanza sasa nataka kuzaa kwa kawaida nifanye nin.sababu ya kuzaa kwa kisu mara ya kwanza ni kondo kutangulia mbele je mara ya pili inawezekana kuzaa kawaida au?asante
 
Hivi tezi dume Ni ugonjwa ukoje? Siufahamu kbs. Je kwa kiingereza unaitwaje?
 
Hivi umbile dogo la uume linasababishwa na nini na kama una tatizo hilo unawezaje kulitatua?
Inategemea Je umbile hilo dogo umezaliwa nalo au limekupata ukubwani kwa maana ya kwamba umbile lilikuaga kubwa then ghfla likawa dogo. Kama limekua dogo ghfla basi kuna tatizo la kiafya ambalo pengine laweza tibika. Lakini kama umbile Ni dogo tu tangu utotoni basi hilo Ni umbile lako tu Ni kuliacha kama lilivyo. Nasikiaga kuna dawa za kienyeji za kurefusha hiyo kitu pia. Anyway me sio doctor ila nimejaribu kureason tu maana naona hakuna aliyejibu swali lako had sasa doctor yuko busy labda yuko bar au safarini
 
Jamani wana jamii F,nauliza better melon ni tunda gani?
Hilo linaitwa "bitter" melon sio "better". Hilo kwa kiswahili nadhani ndio tunaita mbilimbi. Unazijua mbilimbi? Ndo bitter melon hiyo sasa. Linasaidia sana kupunguza sukari mwilini. Wagonjwa was kisukari wanashauriwa kula sana hiyo bitter melon angalia pichani chini hapa l.
Bittermelonfruit.jpg
Bittermelonfruit.jpg
Bittermelonfruit.jpg
Bittermelonfruit.jpg
Bittermelonfruit.jpg
Bittermelonfruit.jpg
800px-Bittermelloncloseup.jpg
 
Hivi tezi dume Ni ugonjwa ukoje? Siufahamu kbs. Je kwa kiingereza unaitwaje?
tezi dume simply ni kuvimba kwa prostate glands, huwapata men >45 yrs of age.
kumbuka hizi glands zipo mbili na urethra imepita katikati, so moja ya sign ya tezi dume ni kukojoa mkojo kidogo sana frequently maana urethra inakuwa imebanwa.
 
dokta nilizaa kwa opreshen mtoto wa kwanza sasa nataka kuzaa kwa kawaida nifanye nin.sababu ya kuzaa kwa kisu mara ya kwanza ni kondo kutangulia mbele je mara ya pili inawezekana kuzaa kawaida au?asante
ndio inawezekana... uwe na amani
 
Nahisi nina multiple sclerosis kwa kuwa namauvi miguuni na mikononi,ganzi vidoleni,vertigo,poor limb coordination nk
Nitathibitishaje kwani hospital napewa ligaba na Nat B bila kuambiwa tatizo
Kuna tiba yake?
 
tezi dume simply ni kuvimba kwa prostate glands, huwapata men >45 yrs of age.
kumbuka hizi glands zipo mbili na urethra imepita katikati, so moja ya sign ya tezi dume ni kukojoa mkojo kidogo sana frequently maana urethra inakuwa imebanwa.
Anhaaa kumbe. So ni zile kende mbili zilizo ndani ya pumbu?
 
Habari,
Naomba ushauri:
Napenda sana mazoezi, najua mazoezi yanaenda sambamba na balanced diet. Tatizo ni limited options on diet, mfano, wali mweupe ndo chakula pekee usiku kama sio chips!
Je, vyakula gani especially usiku naweza kula bila ya kwenda off balanced diet?

Shukran!
 
Back
Top Bottom