lady mmarangu
JF-Expert Member
- Dec 7, 2015
- 306
- 166
Jamani wana jamii F,nauliza better melon ni tunda gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hilo jipya kwangu ila nadhani ni misspellings za "water melon" hilo ni tikiti maji.Jamani wana jamii F,nauliza better melon ni tunda gani?
Inategemea Je umbile hilo dogo umezaliwa nalo au limekupata ukubwani kwa maana ya kwamba umbile lilikuaga kubwa then ghfla likawa dogo. Kama limekua dogo ghfla basi kuna tatizo la kiafya ambalo pengine laweza tibika. Lakini kama umbile Ni dogo tu tangu utotoni basi hilo Ni umbile lako tu Ni kuliacha kama lilivyo. Nasikiaga kuna dawa za kienyeji za kurefusha hiyo kitu pia. Anyway me sio doctor ila nimejaribu kureason tu maana naona hakuna aliyejibu swali lako had sasa doctor yuko busy labda yuko bar au safariniHivi umbile dogo la uume linasababishwa na nini na kama una tatizo hilo unawezaje kulitatua?
Hilo linaitwa "bitter" melon sio "better". Hilo kwa kiswahili nadhani ndio tunaita mbilimbi. Unazijua mbilimbi? Ndo bitter melon hiyo sasa. Linasaidia sana kupunguza sukari mwilini. Wagonjwa was kisukari wanashauriwa kula sana hiyo bitter melon angalia pichani chini hapa l.Jamani wana jamii F,nauliza better melon ni tunda gani?
tezi dume simply ni kuvimba kwa prostate glands, huwapata men >45 yrs of age.Hivi tezi dume Ni ugonjwa ukoje? Siufahamu kbs. Je kwa kiingereza unaitwaje?
ndio inawezekana... uwe na amanidokta nilizaa kwa opreshen mtoto wa kwanza sasa nataka kuzaa kwa kawaida nifanye nin.sababu ya kuzaa kwa kisu mara ya kwanza ni kondo kutangulia mbele je mara ya pili inawezekana kuzaa kawaida au?asante
Anhaaa kumbe. So ni zile kende mbili zilizo ndani ya pumbu?tezi dume simply ni kuvimba kwa prostate glands, huwapata men >45 yrs of age.
kumbuka hizi glands zipo mbili na urethra imepita katikati, so moja ya sign ya tezi dume ni kukojoa mkojo kidogo sana frequently maana urethra inakuwa imebanwa.