samahan doctor gorgeousmimi,nomba nisaidie kwa hili au kama unakituo chochote cha afya naweza fika ili nipate msaada mana nina tatizo ambalo linanisumbua sasa ni miezi 9,doctor mi natatzo naona mwili umepungua bila kujua nin kisababishi haswa,mwanzo wa tatizo nlikuwa na experience maumivu baada ya aja kubwa sehem ya aja,ndpo nlpo kwenda hospital kupima nikaambiwa nina minyoo,nilkuwa nkitumia dawa za minyoo,tatzo linaacha ila nkimaliza tu dozi tatzo linaanza tena,ndipo nilopoamua kutumia dozi continuously mpaka tatizo likaacha,baada ya miezi miwili tatizo likaanza tena ila co kwa kasi ya mara ya kwanza nakugundua kupungua kwa uzito wa mwili kwa 6kg,ndipo nilipoenda hospital wakanambia nina minyoo pamoja na typhoid,minyoo iyo ndo usabisha mwili kupungua coz chakula akitumiki na mwili bali kinatumika nawenyewe,nkapima na HIV nkakuta HIV NEGATIVE,nikawa nmepewa dawa nkatumia lakin bado nkaona kuna mabadiliko ya mwili kupungua,nikaenda hospital nyingne wakanambia chemicals zimezid mwilin ambazo utengeneza vitu kama minyoo ndo usababsha mwili upungue,nkajaribu kuomba ushauri kwa rafiki angu flan ambae ni daktari nje ya nchi,nilivomtumia vipimo vya medical lab test nlvyo vifanya before akanambia inaonesha parasites depend on another parasites katika mwili wako jaribu ktafuta doctor mzurihivo mpaka leo sijajua tatizo nomba msaada wako doctor,please over please