Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Hellow wapendwa,

Nakaribisha maswali yoyote kuhusu dawa zozote zenye active ingredients (DRUGS). Kama una maswali kuhusu matumizi yake, matumizi yake pamoja na dawa nyingine, vyakula (interactions), athari zake (side effects) au hata kama unataka kujuzwa jinsi dawa inavyofanya kazi kutibu ugonjwa!!

Karibuni sana.

A

B

C

D

E

F
Sturving Blood Sugar yangu ni 7.1 wakati rbs hufika 11.7 which position am I? I do enough exercises, jogging gym 3 times a week yet at night I go for urage 2-3 times hii ni kufikia asubuhi what should I do to stabilize the situation I,e not waking up at night for urage and lower my be am over 61 now the situation is endangering to go diabetic.
Thank you
 
Dr mi ninatatizo kuna kipindi hutokea pumba zangu kulegea kabisa husababisha kupoteza nguvu za kiume na ni nasumbuliwa na tumbo na haja kuwa huwa ya mashaka hata kama nikila mapapai bado inakuwa kwangu ni mtihani kuhusu choo
Hali hiyo inaweza kudumu 1wk au zaidi alafu ninarudia hali yangu ya kawaida nilienda hospital nikaonana na dr.akanishauri niwe na tumia Metronidazole lakini bado ninazidi kusumbuliwa
Hasa nyakati za mawingu hasa kipindi cha alfaji
Je nini tiba yake? Na
Je haya ni maradhi gani?
Kwani umri wangu 3 3 years
 
Naomba msaada, Nina mpenz ameingia hedhi 8 mwez wa 2,. Nimekutan nae tareh 4 mwez 3, akiwa kabakiza siku nne kuingia hedhi, mpaka sasa hajapat hedhi,na ukizingatia nimekutana nae siku ya 24, je kuna uwezekano wa kupat mimba kama nikiendelea kukutana nae? Kwamba alibadili mazingra alipokuwa akanifuata, ushaur please
 
Dr Hongera kwa uzalendo wa aina ya kipekee, Tukipata watu wa aina yako tutajifunza mambo mengi sana, Nitoe wito na wataalam wengine waige mfano huu.
 
Nina tatizo la mdomo kuchubuka na kuufanya uwe mwekundu kwenye lips za mdomo je nn tiba yake?
 
Inategemea Je umbile hilo dogo umezaliwa nalo au limekupata ukubwani kwa maana ya kwamba umbile lilikuaga kubwa then ghfla likawa dogo. Kama limekua dogo ghfla basi kuna tatizo la kiafya ambalo pengine laweza tibika. Lakini kama umbile Ni dogo tu tangu utotoni basi hilo Ni umbile lako tu Ni kuliacha kama lilivyo. Nasikiaga kuna dawa za kienyeji za kurefusha hiyo kitu pia. Anyway me sio doctor ila nimejaribu kureason tu maana naona hakuna aliyejibu swali lako had sasa doctor yuko busy labda yuko bar au safarini
Upikaji wa punyeto pia husababisha kuwa na umbile dogo
 
samahan doctor gorgeousmimi,nomba nisaidie kwa hili au kama unakituo chochote cha afya naweza fika ili nipate msaada mana nina tatizo ambalo linanisumbua sasa ni miezi 9,doctor mi natatzo naona mwili umepungua bila kujua nin kisababishi haswa,mwanzo wa tatizo nlikuwa na experience maumivu baada ya aja kubwa sehem ya aja,ndpo nlpo kwenda hospital kupima nikaambiwa nina minyoo,nilkuwa nkitumia dawa za minyoo,tatzo linaacha ila nkimaliza tu dozi tatzo linaanza tena,ndipo nilopoamua kutumia dozi continuously mpaka tatizo likaacha,baada ya miezi miwili tatizo likaanza tena ila co kwa kasi ya mara ya kwanza nakugundua kupungua kwa uzito wa mwili kwa 6kg,ndipo nilipoenda hospital wakanambia nina minyoo pamoja na typhoid,minyoo iyo ndo usabisha mwili kupungua coz chakula akitumiki na mwili bali kinatumika nawenyewe,nkapima na HIV nkakuta HIV NEGATIVE,nikawa nmepewa dawa nkatumia lakin bado nkaona kuna mabadiliko ya mwili kupungua,nikaenda hospital nyingne wakanambia chemicals zimezid mwilin ambazo utengeneza vitu kama minyoo ndo usababsha mwili upungue,nkajaribu kuomba ushauri kwa rafiki angu flan ambae ni daktari nje ya nchi,nilivomtumia vipimo vya medical lab test nlvyo vifanya before akanambia inaonesha parasites depend on another parasites katika mwili wako jaribu ktafuta doctor mzurihivo mpaka leo sijajua tatizo nomba msaada wako doctor,please over please
 
mimi na swali kuhusu dawa za forever living
hususan zile za kupunguza uzito au kufanya mtu apungue
hizo dawa zina madhara yeyote ya mda mrefu au baada ya mda mrefu yataleta madhara pale unapokuwa umetumia au ulishatumiaga na je ukitumia kwa mda alafu ukaacha kutumia zina madhara yeyote??
 
Back
Top Bottom