Mm nna tatizo la kuwashwa na macho sanaaa yanawasha najikuna mpaka na nguo yanakuwa yanvimba sana mekundu pia yanamwagika machozi na nikiangalia mwangaza kama Tv laptop simu yanamwagika machozi yanaweza kufika cku 3 yanawasha baadhi ya cku yanatoka vipunye tatizo nini
Sasa hivo vitu ulivonavo vyote nnavo pumu sugu wasuguru lens navaa flue daily kwa allergy pumu ya ngoz nnayo pia ila ndo ivoam sure hyo ni allergy mi imeishi hyo toka maka 2000 imevaa lens zooote ndo nimekuja jigundua mwaka huu nina pumu kali sana maana hua nakohoa mby dk aliponiona tu akaniambia hayo macho ndo pumu hyo akaniandikia sindano 1 inaitwa deprofos uwi toka hapo jicho jeupeee najuta sikua najijua nilikua nakimbialia kwa madk wa macho mxieww kumbe pumu...jiangalie inakutokea muda gan...lazima utaona kuna visababishi,mimi ni mawingu na mvua na nguo ambazo zikokabatini za muda refu marufuku nenda hospt pole sana...
Sasa hivo vitu ulivonavo vyote nnavo pumu sugu wasuguru lens navaa flue daily kwa allergy pumu ya ngoz nnayo pia ila ndo ivo
Sasa mm ttzo langu ni izo dawa nina allergy nazo navimba uso na macho na flu km nimetiwa hamira wiki nzima mpk nitumie panadol au nipate mtaalamu wa side effects ndo nile dawa zake ila kunnua tu nikala ni shedamimi toka mdg nakumbuka nilikua nakohoa sana nashangaa madk walishindwa jua ansumbuliwa na nn imagin nikapimwa had tb mxiew..eti ikaonekanan nakula sana barafu nikaacha wapiiii yaan mie nimeteseka kweli nimekuja jua may hii kuwa nina pumu yaan hvhv km unavosema ww ...yaan sijaawashwa macho toka hyo may 5.2017..ila hali ikibadilika nakimbilia imhaler natulia...otherwise najihis nkupona80%
itafute inaitwa deprofose
Sasa mm ttzo langu ni izo dawa nina allergy nazo navimba uso na macho na flu km nimetiwa hamira wiki nzima mpk nitumie panadol au nipate mtaalamu wa side effects ndo nile dawa zake ila kunnua tu nikala ni sheda
Naomba msaada wa kutatua tatizo langu nina mafua yasiyoisha(chronic) pamoja na pua kuziba nimeenda kwa Doctar wa ENT akanipa dawa hiz
Diprofos injection
Cetirizine
Avamys spray
Dawa hizo nimetumia lakini tatizo halijaisha
Kuongezeka kwa uric acid kunasababisha Gout dawa zinazoweza kutumika ni Group ya NSAID´S mfano naproxen na kama unapatwa na muongezeko wa uric acid mara kwa mara inaweza kutumika allopurinol.