Misoprostosol inatumika kama maintainance dhihidi ya vidonda vya tumbo hasa kwa watu wanaopata treatment ya
NSAID´s(Non-steroid anti-inflammatory drugs) na wana vidonda vya tumbo vilivyosababishwa na NSAID´s.Inaweza kutumika pia kuinduce birth na kama treatment ya kutokwa na dam nyingi baada ya kujifungua,kutoa mimba na kama treatment baada ya spontaneous abortion.
Hakuna vyakula vinavyoongeza umbile la kiume,kuna vyakula vya kuongeza hamu/mihemeko(afrodisiac)).hello Huwa naskia kuna vyakula unaweza kutumia vikaongeza umbile la uume!Kama ni kweli ni vyakula gani?Je kuna madhara yoyote?Majibu please
Ni dawa ambayo ipo legal na ina matumizi mengi!!!zinapatikana wapi?je ni legal kuziuza?
Capt Nemohallow mtaalam, does your speciality cover things like addiction ya sigara?
Mkuu salito,Hali ya mkeo kula udongo na mchele mbichi kipindi cha ujauzito ni carving inayotokana na ujauzito.Dokta,mke wangu anakula sana udongo na mchele mbichi,je kuna tiba yoyote ya kumsaidia ili aache?pia wakati wa tendo la ndoa anatoka uchafu kama maziwa mgando au mchele uliolowekwa sana,ni nini tatizo?na tiba ni ipi?Tips:huwa anaosha sehemu zake za siri juux2 tu na maji...hatumii sabuni wala haingizi kidole,ndivyo alivyofundishwa kwao.
Weusi katikati ya mapaja inatokana na friction kati ya mapaja, aidha kwasababu wa muongezeko wa kimwili kwamba mapaja yanagusana na kusugana na kupelekea mchubuko na joto likizidi hali hii inaweza kupeleka vidonda na ngozi kubadilika.wadada wengi wanasuffer kuwa na weusi katikati ya mapaja, vipi watumie dawa ipi kupunguza au kuondoa kabisa
Hellow wapendwa,
Nakaribisha maswali yoyote kuhusu dawa zozote zenye active ingredients (DRUGS). Kama una maswali kuhusu matumizi yake, matumizi yake pamoja na dawa nyingine, vyakula (interactions), athari zake (side effects) au hata kama unataka kujuzwa jinsi dawa inavyofanya kazi kutibu ugonjwa!!
Karibuni sana..