Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Kwa kukusaidia tuu, nenda jukwaa la mahusiano uzi wa kwanza kabisa wamechimba sana kuhusu hivo vitu....
 

mambo vp.
nakushauri uwe unatumia mda wa kutosha kunawa na sabuni asubuhi mchana na jioni kuweka ngozi safi, kutokunawa vizuri sabuni ikibaki inasababisha harahara/chunusi. ukinawa hakikisha sabuni yote imetoka usoni. hiyo ni tiba ukizingatia pia km ngozi yako niya mafuta sana usipake mafuta usoni wala usishike uso wala usi tumbue chunusi, zinaweza kutoka kwa wingi ila vumilia zikiondoka kwa kunawa vizuri kila mara iyo ni tiba ya milele .... fanya ivo angalau ndani ya mwezi, ikiendelea basi nenda hospital itakua ni allergy

Angalizo: usipake kitu kingine usoni
 
Nina ndugu yangu ni mgonjwa wa akili hataki kunywa dawa ila chakula anakula naweza kumwekea dawa gani kwenye chakula ya usingizi maana usiku anasumbua sana na hospital waliwapa vidonge na yeye hataki kunywa dawa dawa alizokuwa anatumia ni
Diazepam
Phenobarbital
Lorazepam

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Very sorry naomba mnisaidie make nasumbuliw na ulcers sasa hatar ni pale nimelala ikifika saa 10 na nusu much pains alfu ikifika saa 12 asubuh zinatulia na ni kila siku hv ni kwa nn inakua hvooo???
 
Very sorry naomba mnisaidie make nasumbuliw na ulcers sasa hatar ni pale nimelala ikifika saa 10 na nusu much pains alfu ikifika saa 12 asubuh zinatulia na ni kila siku hv ni kwa nn inakua hvooo???
Pole Sana kaka. Ninayo dawa ya kutibu moja kwa moja na utathibitisha kwenye vipimo pia utatupa mrejesho humu.
 
Kapime homa ya ini
 
Mkuu ninatatizo la muda mrefu kwenye lips zangu za mdogo huwa zinabanduka na kuacha ngozi nyekundu na kufnya mdomo kuwa mwekundu na nikioga vinatoa vitu vyeupe ukivibandua vinatoka ni tatizo la muda mrefu naomba msaada tafadhali.
 
U.T.I ikikaa mda mrefu inaweza ikapona yenyewe kwasababu mwili wenyewe Una immunity system so unaweza ukapambana na hao bacteria endapo utaiacha kwamda mrefu lakini ikiwa Una low immunity system inaweza ikaleta madhara pia.asante
 
Dr naomba ushauri mimi ninaumri wa miaka 34 ni mwanaume ninatatizo la chembe moyo huwa inauma sana kifuani kaikati upande wa kushoto nitatizo la muda mrefu nanikishiba ndy inauma zaidi naomba msaada wako
 
NINI DAWA YA TYPHOID? MWAKA WA KUMI HUU, SITAKI MEZA CIPRO TENA.
NAFUATA KANUNI.ZOTE ZA USAFI ILI HALI KUNA WATU WANAKUNYWA MAJI YA BOMBA HUTAKAA USIKIE ANAUMWA.
NITIBUNI TYPHOID KWA GARAMA YOYOTE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…