Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Ametumia dawa ya aina gani?Ni kawaida kwa baadhi ya watoto walozaliwa premature kutatizwa na asthma!Je amechekiwa hio?
 
Habar doctor naomba msaada ninatatizo lachembe moyo kuuma nalinamuda sasa nimehangaika sijapata dawa inayo nifaa naomba Tiba yake kama unayo
Umejuaje kama una chembe moyo?umefanyiwa vipimo vyovyote au umepata tiba yoyote?
 
Kuna dawa ya mtoto wa miaka kumi na tano kuacha kukojoa kitandan?
 
Umejuaje kama una chembe moyo?umefanyiwa vipimo vyovyote au umepata tiba yoyote?
Sijafanyiwa vipimo ila nilionana na dactari nikampa maelezo akiniandikia dawa ambazo leo ndy nimemaliza dozi yake lakin tatizo bado aliniambia ninamchubuko kwenye utumbo wa juu
 
Naomba kujua dawa ya kinyama kimechoota sehemu ya haja kubwa
 
Desmopressin inaweza kutumika kucontrol bedwetting,kidonge kimoja usiku kabla ya kulala!
Keshatumia almost miez mitatu nangakuna msaada japo pia wakat anatumia alikua anasema inampa usingizi sana alikua analala sana na alikua boarding darasa la sita hadi la saba..Haikumsaidia akaamua kuacha mwenyewe na alikua anatumia pamoja na vitamin B
 
Habari doctor naomba kujua dawa ya haraka sana ya kuongeza damu maana iko chini sana na dawa pia ya kuongeza madini chuma mwilini na pia dawa ya kuacha kula udongo[emoji120][emoji120]
 
Swali lingine ni kwamba vidonda vya tumbo au upungufu wa damu na upungufu wa madini chuma unaweza kusababisha ushindwe kupumua vzr????
 
Sorry Ndugu nlitakiwa pata PEP kulingana n yaliyotokea,,, ila kuna disp wamenipa arv Kwny bahasha wameandika TLD na zilikua za Siku 90 kwenye kopo,,, ila wamenihesabia za Siku 30.....je hizi tld zinafanya kazi kama PEP au lazima iandikwe PEP.....???
Kirefu cha PEP ni Post Exposure Prophylaxis kiswahili chake sikijui vizuri ila ni matibabu anayopewa mtu ambaye amekuwa exposed na mazingira ya ukimwi ndani ya masaa 72 ambayo siyo dawa sasa dawa zinazotelewa ndio hiyo TLD kwa ajili ya kuziuia mtu asipate maambukizi
 
Tuliambiwa dawa za asili..bahat mbaya mtu mwenyeww mwenye hilo tatizo ameshafariki wiki mbili zilizopita
Poleee sana
Kupona ni changamoto kidogo kwasababu huwa tunatoa matibabu tukitegemea ini lenyewe ndo lidegenerate ili mgonjwa apone lakini kwa nchi za wenzetu unaweza kufanyiwa liver transplant na akapona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…