respect wa boda
JF-Expert Member
- Nov 14, 2013
- 4,556
- 3,842
Much much respect dada...
Kazi unayofanya hapa si haba, ofcoz tunaomadaktari wengi sana lakini ni wachache sana wenye moyo kama huo hata ktk kazi za wito kama hii. What can i say I'm proudly of you, Na kikubwa nilichokibaini hapa ni kama hauko hapa Tz, ila umetumia muda wako ambao tunaamini ni mchache sana kuwasaidi watu bure kabisa bila malipo..!!! Kama ni mbongo uliye nje kikazi nijisikia fahari sana kuwa na sach moyo wa upendo tulionao wabongo wengi. Lakini pia kama ni Mkenya then Mungu akubariki kushare utaalam wako ktk sekta nyeti kama hii ya Afya na wana East Africa, Africa na dunia kwa ujumla.
N.b,nitajongea tena hapa baada ya kupitia cheti nilichopima.
Kwa hakika sijawahi kutumia kilevi cha aina yoyote ile, iwe ni Pombe,Sigara,Cocaine wala Bangi na uzito wangu nadhani uko Normal ingawaje nimepanda kidogo toka kilo 68 mpaka kilo 73 (30age) nilizopima wakati nachekiwa mwezi wa pili. Pia sina pressure. Maybe kama tatizo hili linatokana na Effect za X-ray niliyopiga kifuani miaka13 iliyopita.
Dr gorgeousmimi, Narudia tena, Mungu akubariki na akuzidishie popote unapopungukiwa kwa msaada wako kwa wadau hapa ndani.
Blessed blessed again,be Blessed. Nitakutafuta baadaye.
BACK TANGANYIKA

Last edited by a moderator: