Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Serengeti Bia zinaniumiza kichwa hata nikinywa moja ila nikinywa bia za TBL haziniumizi .. Hapo tatizo ni nn .. na nnapenda Bia za Serengeti kwani naambiwa hazina sukari.
 
Naomba msaada Doctor. mwangu anajikuna tumbo na kupata kifua kikavu na kuwashwa koo now it's 1week
 
Hi dr.mama mjamzito kutafuna vitunguu saumu kama tiba ya vidonda vya tumbo kuna athari zozote kwenye ujauzito?
 
Habarini za kazi,
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 31 kwa sasa, ninatatizo linalonisumbua sana hadi nakosa raha kabisa, nilienda pharmacy nikapewa dawa ya kusukutua na nyingine kama mafuta naweka mdomoni inakaa wa mda kama dakika mbili, nili itumia kwa mda lakini tatizo bado liko pale pale, yaani napata shida sana.

Naomba msaada wenu jamani.
 
Salaam, naombeni kujuzwa ikibidi dawa....Mimi nikitembea kwenye jua macho huwa yanatoka machozi sana na jua likiwaka sana sitaweza kuangalia mbele, nikiangalia mbele huwa natokwa na machozi sana

Naombeni kujua ntaponaje?
 
Salaam, naombeni msaada wa kujuzwa ni dawa gani nzuri ya kienyeji inayoondoa sugu iliyoota kwenye kidole cha mkono[emoji120]
 
Dr. Naomba ushauri wa kitaalamu zaid nakiongea na watu mate yanatoka kiasi kwamba nawakura naokuwa nazungumza nao mpaka kupelea naloose confidence kuzungumza puplically. Tatizo hilo lilianza miaka 2 ilopita naomba msaada wa kitaalamu tafadhar
 
Hellow wapendwa,

Nakaribisha maswali yoyote kuhusu dawa zozote zenye active ingredients (DRUGS). Kama una maswali kuhusu matumizi yake, matumizi yake pamoja na dawa nyingine, vyakula (interactions), athari zake (side effects) au hata kama unataka kujuzwa jinsi dawa inavyofanya kazi kutibu ugonjwa!!

Karibuni sana.

Doctor Auromindo ni dawa gani na nini matumizi yake? Pia Efavirenz ndo dawa gani na nini matumizi?

Naomba unisaidie doctor. Ikiwezekana hata tuwasiliane kwa whatsup no 0675706938
 
Hellow wapendwa,

Nakaribisha maswali yoyote kuhusu dawa zozote zenye active ingredients (DRUGS). Kama una maswali kuhusu matumizi yake, matumizi yake pamoja na dawa nyingine, vyakula (interactions), athari zake (side effects) au hata kama unataka kujuzwa jinsi dawa inavyofanya kazi kutibu ugonjwa!!

Karibuni sana.

A



B


C


D


E



F
Zinapoanza kuota nywele za sirini baada ya kunyoa zinawasha sana mpaka unatamani utafute gunzi ujikunie! Naomba msaada nitumie dawa gani?
 
Ni dawa gani ya asili au ya hospital inaweza tumika kutibu yatizo la kutoka kitu kama uvimbe njia ya haja kubwa pamoja na kutoka damu sehemu ya haja kubwa .
 
habarini samahani eti ukiwa na uvimbe kwenye ovari unaweza ukapata ujauzito
na dawa yakuondoa uvimbe kwenye ovari ni IPI

ahsanten
 
Ni dawa gani ya asili au ya hospital inaweza tumika kutibu yatizo la kutoka kitu kama uvimbe njia ya haja kubwa pamoja na kutoka damu sehemu ya haja kubwa .
Dokta kasepa ngoja nikupe dondoo kidogo

Kwanza hyo nibawasiri sasa sijui unamuda gani imeanza na je ya ndani au ya nje

-jitahidi sana kunywa maji mengi, usikae muda mrefu chooni na usijakamue sana haja kuwa km unapumua hivi
-jitahidi kula vyakula vya fibre au nyuzi nyuzi, acha au punguza kula nyama choma, dagaa na vyakula ambavyo vimepikwa havijalainika
-kula dona badala ya sembe, usile pilipili, kuvuta sigara, hizo ni baadhi tu

Dawa za awali
-pakaa mafuta ya mnyonyo kila utokapo haja, au paka ute wa alovera
-tumia anusol
-jikande na maji ya moto yenye chumvi kila unapotoka haja au kalia hayo maji muda wa nusu saa. Mara mbili kwa siku

Nb sio dokta ila nimejifunza humu mambo mengi na nimepona na nimeponya
 
mkuu nini tiba ya ugonjwa wa kutoka vnyama sehemu ya hajaku kwa wanaume na kwa wanawake sehemu ya ukenii
 
naomba kujua dawa ya kutatua tatizo la upungufu wa uzalishaji wa testosterone kwa mwanamme.
 
Naomba kufaham juu ya bidhaa ya forever malt maca vile vidonge 60 je havina madhara??
 
Naomba kufahamu dawa nzuri ya kutibu ugonjwa wa mafua makali kwa mtoto wa miezi saba, pua zinaziba hawezi kunyonya kwa hiyo mtoto amedhoofika sana. Asante
 
Back
Top Bottom