Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Hellow wapendwa,

Nakaribisha maswali yoyote kuhusu dawa zozote zenye active ingredients (DRUGS). Kama una maswali kuhusu matumizi yake, matumizi yake pamoja na dawa nyingine, vyakula (interactions), athari zake (side effects) au hata kama unataka kujuzwa jinsi dawa inavyofanya kazi kutibu ugonjwa!!

Karibuni sana.

A

B

C

D

E

F
Habari doctor,
Mimi ni ni muathirika wa masikio yaan hayasikii vizuri. Na nina experience vitu vifuatavyo!
a)Yana unguruma kwa ndani.
b)Mtu akiongea namsikia ila sijui n nn anamaanisha
c)Mtu akiwa mbali simsikii kabosa.
d)Hayaumi wala kutoa usaha.

Mwanzo nilitumiaga hizi ear drop za kunyunyizia sikion hazikufanya kazi. Badae nikaenda kupima na kupewa dawa zinaitwa neuroloton nilitumia miezi mitatu ila nazo hazija fanya kazi.

Nimesikia altenative way n kufanyiwa cochlear implant.

Rai yangu kwako ni je kuna dawa zaid ya hiyo ? na je kufanyiwa cochlear implantvina cost sh ngap?
 
Mkuu Mimi nauliza tiba ya fangasi,
Zipo katikati ya pumbu na mapaja nadhani kutokana na hili joto na zinasababisha maumivu makali.dawa yake ni IPI?
 
Write your reply...me nauliza hali ya kukosa hamu ya kufanya napenzi au uume kusimama kiasi cha misuli kutaka kuchana boxer huwa nitatizo au ni kitu gani?maana hata cjielewi
 
Mi nauliza dawa ya UTI ya mda mrefu maana dawa km azuma,dox,cipro na zile za kwenye mishipa nimechoma ila bado kibaya nowdays nimeanza kuhisi maumivu makali ya kiuno na mgongo kipimo Cha VDRL nimepima wanadai hakuna shida nilikiamka asubuhi boxer inakua imechafuka vitu km usaha na Sina manzi hii tiba yke nn maana nimekata tamaa ya maisha na hili tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niulize kuhusu dawa yoyote ya binadamu nami ntakujibu!!!!
 
Attachments

  • photo-1471864190281-a93a3070b6de.jpg
    photo-1471864190281-a93a3070b6de.jpg
    15.3 KB · Views: 5
Kwa nn Sildenafil inatumiwa kama sexual stimulant na sio ant hypotension, na dawa za ant hypotension hazitumiki kwa sexuall stimulant ?.
 
Mi nauliza dawa ya UTI ya mda mrefu maana dawa km azuma,dox,cipro na zile za kwenye mishipa nimechoma ila bado kibaya nowdays nimeanza kuhisi maumivu makali ya kiuno na mgongo kipimo Cha VDRL nimepima wanadai hakuna shida nilikiamka asubuhi boxer inakua imechafuka vitu km usaha na Sina manzi hii tiba yke nn maana nimekata tamaa ya maisha na hili tatizo

Sent using Jamii Forums mobile app
mkuu, nashauri ufanyiwe "culture and sensitivity ya urethral swab"..

hapo utapata majibu zaidi na tiba(dawa) itakayokutibu kwa uhakika zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habaei dokta,

Swali langu liko hivi ; naomba usome haya maelezo.

Salaam,

Tuzidi kuchukua tahadhari dhidi ya Covid-19 , maana ipo na ni hatari.

Naomba niingie moja kwa moja katika mada husika ;

Ni hivi, kuna ndugu yupo mkoa fulani ndani ya Tanzania. Ndugu huyu anamtoto mmoja tu, ambaye ni wakike.

Umri wa msichana wake, ni chini ya miaka 22, lakini haishuki chini ya 20. Huyu binti elimu yake, karibia yote ya secondary alisoma shule ya bweni tena nje ya mkoa wao.

Kilichonifanya kuandika uzi huu wa kuomba msaada wa ushauri ni baada ya ndugu huyo hivi karibu kuwasiliana nami, kuniuliza ikiwa ninafahamu madaktari bingwa wa magonjwa ya wanawake.

Sikuwa na jibu la moja kwa moja juu ya swali lake, ndipo nilipomuuliza 'kulikoni' ?
akaanza kunielezea, kwamba kwa takriban mwaka na nusu binti yake , kila anapoingia kwenye period, basi huwa anakua ni mgonjwa wa taaban, hajiwezi kwa lolote kwa chochote, na anakua na maumivu makali mno ya tumbo, yaloyopitiliza na anakua anatapa-tapa kama vile anataka kufa kabisa.

Wamejaribu kumpeleka hospital kadhaa, lakini hakuna cha zaidi sana walichopata zaidi tu ya kumpa dawa za kutuliza (amenitajia dawa, nimesahau)
Akaongeza kwamba, kuna kipindi walimfanyia vipimo, wakabaini ana viuvimbe kidogo, lakini hawawezi kumfanyia upasuaji, akasema huenda akija kushika ujauzito na kujifungua basi na vyenyewe vitaisha.

Nilimuuliza huwa inachukua muda gani, akasema ni muda ambao anakua ndani ya siku zake, ila akimaliza au akiwa mwishoni mwishoni kukaribia kumaliza, huwa anakua sawa.

Sijui tu ni kwanini, lakini mawazo yangu yalienda mbali sana, mbali mno, nikawaza/nikahisi huenda pengine binti alishawahi kutoa ujauzito , na kinachomsumbua ni matokeo ya alichofanya kwa siri.?!

Nilikumbuka likizo fulani, ndugu alifanya tu mawasiliano namie, akaniambia 'fulani likizo hii hatokuja, kwa sabahu hatorudi nyumbani, anabakia shuleni' ilinishangaza kidogo na hata ndugu yangu huyo ambaye ndiye mzazi wake ilimshangaza pia lakini akajua huwenda anatulia ili apate muda wa kujisomea zaidi.

Na cha ajabu ni kwamba, ni kitu ambacho hakikuwahi kujirudia. Ninaambiwa, Aliporudi, afya yake haikuwa yule wa sikuzote, kuna muonekano fulani wa tofauti kidogo yupo nao, mwanzoni walihisi ni kwa sababu ya shule, ila haikuwahi kubadilika, hakuwahi kurudi kwenye muonekano wake wa kawaida kama alivyokua awali (anase,a mzazi wake)

Naomba wataalamu wa kada hii ya afya, haswa ambao wamebobea kwemye mambo haya ya afya ya uzazi especially kwa wanawake, mnisaidie ikiwa mawazo yangu yapo sahihi, na kama ndio ni hatua gani za kumsaidia zichukuliwe?

Nitahukuru kwa michango yenu itakayotoa mwanga mzuri wakuweza kumsaidia.

Ahsante.

P. Oligarchy.
 
Mkuu vipi kuhusu swala la chango ya kizazi,mmemchunguza kuona dalili zake haziendaji na dalili za chango,

Ata mm kuna bint nipo nae kimahusiano anasumbuliwa na ilo tatzo japo hali take hailingani na ya uyo bint ya kutapa tapa.
Apo awali nilihisi kabsa huenda atakuwa katoa mimba Ila yy alikuwa anasema ni chango ndo unamsumbua hvyo na kweli ukiangalia dalili za ugonjwa wa chango anazo kwa asilimia kubwa.

Ila Sasa baada ya mahusiano kuzid nilikuja kugundua kuwa huenda akawa amezaa mtoto kutokana na maumbile yake ya maziwa,tumbo na k yake...nilifanya uchunguz wa siri kujua Kama kweli anamtoto au laaa.. nikaja kujua kweli anae japo sjawai kumuuliza hilo na najua nikimuuliza atakataa na ndo limepelekea hayo matatizo.

Tuludi ktk mada,huenda hisia zako zipo sahihi swala la huyo bint kutoa mimba au kuzaa yawezekana pia swala la huyo bint pia kuwa na chango pia lawezekana.

Kikubwa kwa Sasa hv ni kuwa na huyo bint karbu na kuanza kumchunguza na kumbana kwa maswali ya mtego aweze kufunguka zaidi,Mana wanawake wasiri sanaa.
 
Habari wanajamii forum,
Nahisi nimepata maambukizi ya koo japo sina uhakika sana. Ni muda kama wiki mbili au tatu harufu mbaya inatoka ndani ya mrji wa koo. Mwanzo nilihisi kuna kitu nimekimeza na haitachukua muda hali itakuwa sawa lakini hofu yangu ni kuwa mpaka sasa harufu hiyo naisikia name inanikera Sana. Naombeni ushauri wenu ni nini hiki. Sass kifua na Nyongo vinaniuma sababu nimejaribu kujitapisha lakini Hakuna matokeo yoyote ushauri went wadau.
 
Ni dawa gani nzuri kutibu tatizo la uvimbe na maumivu katika sikio....Maumivu yanaenda mbali kiasi cha kusababisha maumivu ya kichwa? sababu ilianza baada ya kutumia pamba stick (cotton buds)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari Doctor,
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 23 tatizo langu ni kuwa uume unasimama kwakulegea hali hii ilitokea baada ya kujichua sana kipindi nipo shule. Hii hali inanitesa sana. Tafadhari naomba msaada nipate kuwa sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom