Laroi Butata
Member
- Oct 28, 2020
- 91
- 103
Taaluma yangu kwa upande mmoja ni Free Lance Photographer na base yangu ipo jijini Arusha.
Nakaribisha watajwa hapo juu kwenye kichwa cha bandiko hili niweze kufanya kazi inayohusiana na career yangu.
Nipo fully time kufanya kazi hii kwa ustadi na kutumia akili yangu ili upate kitu bora kutokana na matarajio yako kwangu.
Naweza kukufuata au kwenda sehemu yoyote ndani ya mipaka ya nchi yetu Tanzania au hata kuvuka mpaka kulingana na tutakavyoongea na kukubaliana.
Nawasilisha.
Ahsante