Nakasirika kila mara mke wangu ananiambia ananipenda. Kuna haja gani sasa?

Umri wako utakuwa ni chanzo Cha hili tatizo.
 
Na wewe mwambie hivyo hivyo nakupenda mama la mama my African queen, mke wa ndoto zangu
Wanawake ndio wanapenda kusikia hivyo
Mwambie tu hivi.[emoji115]hata kwa kuigiza tu.
 
Anza uchunguzi kama hakucheat. Maana siku hizi tunawafundisha kupenda waume zao, ila mbona simple mwambie pia then kiss her forehead then mwegemeze begani mikiss tena. Haliksha ukiwa unacheat sumu na visu weka mbali
 
Mna umri gani?
Pengine mento kes 🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…