Nakasirika kila mara mke wangu ananiambia ananipenda. Kuna haja gani sasa?

Nakasirika kila mara mke wangu ananiambia ananipenda. Kuna haja gani sasa?

wanawake ni waongo sana, ukiona nakupenda zimekua nyingi ujue mambo ni opposite kabisa
 
Nahisi wewe ni mimi coz wanawake wengi sana niliowaacha niwale walionipenda kupitiliza mi ni mwoga sana wakuwa chizi au kuuliwa
Nini kimekukuta Mkuu mpaka uuliwe??,
Kuwa chizi kawaida sana, huenda hapo tayari ushachizika😆
 
Mimi mpenz wangu nae siku hizi ndio ameanza tabia hii, kila mda nakupenda mara nini sijui nini mpka naogopa au ndio staili mpya ya kuchepuka nini ili nisimstukue? Au ananiseti anipega hela maana skukuu karibuni tu hapa sielewi.
 
Back
Top Bottom