Nakataa kata kata Yanga SC haina uwezo wa kumsajili Azizi Ki

Nakataa kata kata Yanga SC haina uwezo wa kumsajili Azizi Ki

kenny mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2021
Posts
316
Reaction score
848
Nakataaa kata kata Yanga haina uwezo wa kumsajili Aziz Ki hii ni kampeni iliyotumiwa na GSM kushinda Urais, Aziz Ki anaenda Ulaya hawezi kuja utopolo.
 
Nakataaa kataa kataa yanga haina uwezo wa kumsajili aziz ki hii ni kampeni iliyotumiwa na gsm kushinda urais, aziz ki anaenda ulaya hawezi kuja utopolo
Kwani hata akienda huko ulaya, Yanga itakufa? Au hata akisajiliwa atakuwa anacheza peke yake uwanjani?

Hata kama alitumika kwa ajili ya kampeni, shida iko wapi?
 
Safari hii maji mtaita mma.

IMG_0630.jpg
 
Nakataaa kataa kataa yanga haina uwezo wa kumsajili aziz ki hii ni kampeni iliyotumiwa na gsm kushinda urais, aziz ki anaenda ulaya hawezi kuja utopolo
Mkuu laiti kama Yanga wangekuwa wanamnunua akiwa na mkataba hapo Sawa, Yanga hawawezi kushindwa kumchukua maana jamaa amemaliza mkataba wake na Mimmosa

Kwahiyo option aliyonayo mchezaji ni either aongeze mkataba katika club yake ya zamani au atimkie Yanga

Kwa sasa ligi ya NBC ina ushawishi lakini pia wachezaji wa kigeni wanalipwa vizuri, kwahiyo me sioni kama kuna ugumu wowote wa Yanga kushindwa kuinasa saini ya Aziz
 
Back
Top Bottom