kenny mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 17, 2021
- 316
- 848
Nakataaa kata kata Yanga haina uwezo wa kumsajili Aziz Ki hii ni kampeni iliyotumiwa na GSM kushinda Urais, Aziz Ki anaenda Ulaya hawezi kuja utopolo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakazia.Huu Uzi utunzwe kwa matumizi ya badae
Kwani hata akienda huko ulaya, Yanga itakufa? Au hata akisajiliwa atakuwa anacheza peke yake uwanjani?Nakataaa kataa kataa yanga haina uwezo wa kumsajili aziz ki hii ni kampeni iliyotumiwa na gsm kushinda urais, aziz ki anaenda ulaya hawezi kuja utopolo
Joyce anatosha
NakaziaJoyce anatosha
Cheki pm mkuuKolo kama wewe nani anataka kubishana na wewe.. subiria saa 9:10
Mhogo wataita mhohoSafari hii maji mtaita mma.
Yanga princess huyoJoyce anatosha
Mkuu laiti kama Yanga wangekuwa wanamnunua akiwa na mkataba hapo Sawa, Yanga hawawezi kushindwa kumchukua maana jamaa amemaliza mkataba wake na MimmosaNakataaa kataa kataa yanga haina uwezo wa kumsajili aziz ki hii ni kampeni iliyotumiwa na gsm kushinda urais, aziz ki anaenda ulaya hawezi kuja utopolo