Nakataa kata kata Yanga SC haina uwezo wa kumsajili Azizi Ki

Nakataaa kata kata Yanga haina uwezo wa kumsajili Aziz Ki hii ni kampeni iliyotumiwa na GSM kushinda Urais, Aziz Ki anaenda Ulaya hawezi kuja utopolo.
𝓨π“ͺ 𝓷𝓲𝓷𝓲 𝓴𝓾𝓳𝓲π“ͺ𝓲𝓫𝓲𝓼𝓱π“ͺ 𝓲𝓡𝓱π“ͺ𝓡𝓲 𝓾𝓢𝓽𝓾 𝓢𝔃𝓲𝓢π“ͺ, π“ͺ𝓾 𝓷𝓲 𝓭𝓲𝓼𝓱𝓲 𝓴𝓾𝔂𝓾𝓢𝓫π“ͺ?
 
Mbona kama vile kauli zinaanza kubadilika! Wananchi tushike kauli moja ya rais wetu na msemaji wa timu. Rais alisema tumchague atamleta Aziz Ki, na msemaji akakazia kwa kusema Aziz Ki asiposaini Yanga mwaka huu, yeye ataacha kuwa msemaji wa wananchi

Back to sender
 
Tulia wewe Kolo.. Yanga ni wabuni wa Kila kitu Dunia hii.. Dunia yote Hadi Sasa haijalala watu wanasubiria usajiri alfajiri
Hujalala wewe na ujinga wako mtu mwenye akili timamu lazima azingatie ushauri wa watalaam kulala mapema
Ila kwa vile ni mambwa kazi yenu kubweka usiku lazima mkeshe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…