Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Atakuwa Taasisi ya Moyo huko yuko dhohofu li hali. 😂😂😂kenny mtanashati Wewe Kolo Upo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Atakuwa Taasisi ya Moyo huko yuko dhohofu li hali. 😂😂😂kenny mtanashati Wewe Kolo Upo?
Bado limelala kolo, likiamka litakutana na maajabu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mleta uzi una hali gani huko uliko. [emoji1787][emoji1787]
Makolo mulibwanjiNakataaa kata kata Yanga haina uwezo wa kumsajili Aziz Ki hii ni kampeni iliyotumiwa na GSM kushinda Urais, Aziz Ki anaenda Ulaya hawezi kuja utopolo.
Njoo endelea na uzi wako.Nakataaa kata kata Yanga haina uwezo wa kumsajili Aziz Ki hii ni kampeni iliyotumiwa na GSM kushinda Urais, Aziz Ki anaenda Ulaya hawezi kuja utopolo.
Hato amini. 😂😂Bado limelala kolo, likiamka litakutana na maajabu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
𝓨𝓪 𝓷𝓲𝓷𝓲 𝓴𝓾𝓳𝓲𝓪𝓲𝓫𝓲𝓼𝓱𝓪 𝓲𝓵𝓱𝓪𝓵𝓲 𝓾𝓶𝓽𝓾 𝓶𝔃𝓲𝓶𝓪, 𝓪𝓾 𝓷𝓲 𝓭𝓲𝓼𝓱𝓲 𝓴𝓾𝔂𝓾𝓶𝓫𝓪?Nakataaa kata kata Yanga haina uwezo wa kumsajili Aziz Ki hii ni kampeni iliyotumiwa na GSM kushinda Urais, Aziz Ki anaenda Ulaya hawezi kuja utopolo.
Mmeniumbua vibaya wananchi[emoji23][emoji23]Atakuwa Taasisi ya Moyo huko yuko dhohofu li hali. [emoji23][emoji23][emoji23]
Sio Moyo Tu Na Ana Mharo Pia [emoji23]Atakuwa Taasisi ya Moyo huko yuko dhohofu li hali. [emoji23][emoji23][emoji23]
Ni Mharo Tu Huko Aliko [emoji23]Mleta uzi una hali gani huko uliko. [emoji1787][emoji1787]
,[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ni Mharo Tu Huko Aliko [emoji23]
[emoji51][emoji51][emoji51]Hato amini. [emoji23][emoji23]
Hongereni sana watani, hapa mmelamba dume. Huyu jamaa ni mchezaji mzuri.
Mbona kama vile kauli zinaanza kubadilika! Wananchi tushike kauli moja ya rais wetu na msemaji wa timu. Rais alisema tumchague atamleta Aziz Ki, na msemaji akakazia kwa kusema Aziz Ki asiposaini Yanga mwaka huu, yeye ataacha kuwa msemaji wa wananchi
Hujalala wewe na ujinga wako mtu mwenye akili timamu lazima azingatie ushauri wa watalaam kulala mapemaTulia wewe Kolo.. Yanga ni wabuni wa Kila kitu Dunia hii.. Dunia yote Hadi Sasa haijalala watu wanasubiria usajiri alfajiri