Nakataa kuihusisha serikali na mauaji ya Kijana James Temba

Nakataa kuihusisha serikali na mauaji ya Kijana James Temba

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Pamoja na uana Chadema wangu na kupenda haki kwangu ila haya mauaji ya Kijana mdogo mwanafunzi wa IFM Bado nagoma kwenye akili yangu kuyahusisha na serikali au Kisiasa

Kijana James Temba hakuwa na threat yoyote Kwa watawala na inasemekana yeye na familia yake ni makada wa CCM

Nadhani waharifu wametumia mwanya uliopo na ulioendekezwa wa utekaji na mauaji kufanya uharifu na mauaji haya

Serikali haijawahi kuwapata ushahidi wowote wa wahusika wa utekaji na mauaji kuanzia Kwa Ulimboka, Azory Gwanda, Ben Saanane, Mzee Kibao n. K

Natumai police wetu waingia kazini wafanye upepelezi haraka na wawaweke waharifu hadharani mapema ili japo kuisafisha serikali
 
Kuna maswali mengi wananchi wanayo ndiyo maana wanalaumu kila kitu gvtnto.

Polepole pilipili, kibao, yule dada nmb kibaha aliyetolewa kanisani akaunguzwa moto. , Hata maiti hizo mbili zilizookotwa na Temba,. Kwenye daraja la slender.

Ukimya wao unasababisha tulipuke kuwanyooshea kidole kwa kila kituu.
 
Kweli
Sasa serikali ifanyie uchunguzi iwakamate hao wahuni
Tumechoka na matukio ya utekaji na mauaji
 
Tayari wamekamatwa watuhumiwa watatu akiwamo mwanamke mmoja..
Uchunguzi unaelendelea.
Habari ipo humu JF.
 
Kazi ya ulinzi wa raia na mali zao ni ya serikali chini ya jeshi la polisi.Tungekuwa na polisi weledi yaani wenye intelijensia ya juu wangezuia huo uuaji.Muhusika mkuu wa mauaji ni serikali.Amewaua.watu wengi wakiwemo hamphrey polepole,mzee kibao,mzalendo mdude,dioniz,nk kwa lengo tu sa100 asikosolewe.Serikali hii imeoza kabisa hadi watanzania wanatamani kuhama nchi.
 
Serikali ikiua mtu mwili wake hamtaupata, wala hakutakuwa na taarifa zozote, popote pale.
Huyo dogo wamemfanyia tuu umafia watu kama watu.
 
Back
Top Bottom