KweliKuna maswali mengi wananchi wanayo ndiyo maana wanalaumu kila kitu gvtnto.
Polepole pilipili, kibao, yule dada nmb kibaha aliyetolewa kanisani akaunguzwa moto. , Hata maiti hizo mbili zilizookotwa na Temba,. Kwenye daraja la slender.
Ukimya wao unasababisha tulipuke kuwanyooshea kidole kwa kila kituu.
Wanachagua matukio yakughugulikia bwana.Tayari wamekamatwa watuhumiwa watatu akiwamo mwanamke mmoja..
Uchunguzi unaelendelea.
Habari ipo humu JF.
Mauaji ya Ali Kibao wamekamatwa wangapi? Wauaji wa Ali Kibao walionekana kabisa wakimshusha kutoka ndani ya basi.Tayari wamekamatwa watuhumiwa watatu akiwamo mwanamke mmoja..
Uchunguzi unaelendelea.
Habari ipo humu JF.
Ukiona hawapati jua ni wao.Serikali haijawahi kuwapata ushahidi wowote wa wahusika wa utekaji na mauaji kuanzia Kwa Ulimboka, Azory Gwanda, Ben Saanane, Mzee Kibao n. K
Lile jambo la kutisha na aibu.Mauaji ya Ali Kibao wamekamatwa wangapi? Wauaji wa Ali Kibao walionekana kabisa wakimshusha kutoka ndani ya basi.