Nakemea vikali hoja ya kuwa walimu wa msingi kuwa walifeli kidato cha nne

sasa khantwe unajitahid kujieleza lakini hizo research unazoongelea sample size na scope of study zipoje? Sio kila research unageneralize.kuhusu kufaulu na kufeli kila mtu aweke namba ya shule na namba yake pamoja na mwaka wakumaliza

Quantitative research unageneralize according to occurances......nimeona kwenye shule nilizosoma...wenzangu niliosoma nao sekondari na vyuoni...sample ya kutosha kabisa hiyo
 
Ulikua na Division ngapi na mwaka weka hapa ili tudadavue tokeo lako hilo
 
Labda,kabla ya mfumo huu mpya wa madaraja,chukua kutoka mwaka 2000-2008,aliyefaulu kwa mjibu wako ilitakiwa awe amepata mwisho Division ipi ya point ngapi?
Khantwe na timu yako mnijibu
 
Last edited by a moderator:
Labda,kabla ya mfumo huu mpya wa madaraja,chukua kutoka mwaka 2000-2008,aliyefaulu kwa mjibu wako ilitakiwa awe amepata mwisho Division ipi ya point ngapi?
Khantwe na timu yako mnijibu

Usianze kutuuliza maswali ya kimtego hapa...yeyote aliyekosa sifa za kuingia kidato cha tano amefeli...full stop
 
Last edited by a moderator:
kuna mwalimu wa shule ya msingi alijiendeleza kusoma sheria,akapiita law school akafaulu first sit,kwenye ile interview ya Takukuru wale wa Law yeye ndiye alikuwa wakwanza...huwa nikimwana namheshimu sana
 
Nani kawaambia hayo? wengine tulifaulu vzr fm 4 na tulikuwa na sifa za kujiunga "A" level ila kwa hiari zetu tukaenda teaching as a right way of achieving triumphs,sasa wale wanaobwatuka2 eti wlm wa pr. walifeli mthn wa fm 4 wafunge bakuli lao.

Wengi mlifeli na huenda na ww ulifeli also. To what extent have you achieved what you call triumphs with your teaching certificate. Had that been yoUr goal you would proceed with advanced secondary studies and pursue some higher levels of your favorite career. Huna lolote, suala sio uzuri wa vyeti vya form four level ya elimu yako inamata zaidi.
 
Hata kitaa ukimaliza utasikia umekosa na ualimu kauli hii inadhibitisha wengi (sio wote) wanoenda ualimu wameshindwa credt 3 zinazo kupeleka a level
 
Nipe mfano wa div 1 tano walioenda ualimu shule ya msingi na mm nikupe div 4 1000 na zero kadhaa zilizoenda ualimu wa msingi
 
Kwan uongo? Kuna division one huchaguliwa kuwa mwl wa vijidudu?
 
Hivi huu msemo unamaanisha nini?
"Ukimwambia mtu nimefeli form 4 anakuuliza hata ya ualimu umekosa?"
 
Kweli kabisa kuna watu na hata wanafunzi huwa wanadiriki kudrna hivyo ila kila niliposikia kauli hiyo noliwaambia wafeli nao ili wawe waalimu hapo baada ya kufeli utawakuta mitaani hawana lolote
 
sikufaulu sana nilikua na dv 3 ya 23 mwaka 2003 but nilienda clash program nikaua. niaajiliwa nikapiga six kitaa nikapiga nimeenda dip nimemaliza na nna 2.8 najiandaa kuchukua shahada! afu napiga pindi darasa la tatu stadiza kazi.
 
kuna mwalimu wa shule ya msingi alijiendeleza kusoma sheria,akapiita law school akafaulu first sit,kwenye ile interview ya Takukuru wale wa Law yeye ndiye alikuwa wakwanza...huwa nikimwana namheshimu sana

Alijiendeleza lakin mwanzo alifeli
 
Ha ha ha tukatae tukubari walimu primary ni waliofeli,wengi wao huishia na hiyo certificate akijitahidi sana anakuwa na diploma.
 
sikufaulu sana nilikua na dv 3 ya 23 mwaka 2003 but nilienda clash program nikaua. niaajiliwa nikapiga six kitaa nikapiga nimeenda dip nimemaliza na nna 2.8 najiandaa kuchukua shahada! afu napiga pindi darasa la tatu stadiza kazi.

Umezoe kuchukua eeeeh?embu tuambie hiyo shahada unaenda kuchukulia wapi?
 
Ni nadra sana kwa mtu mwenye division 1 &2 kwenda certiface ya ualimu Wengi wanaoenda huko ni wale ambao kwao ni last option yan wenye 3 mbaya na 4! mnadhan elimu yetu itaenda wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…