yenyewe
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 621
- 94
Naona bwana tuwe wakweli unataka kuupinga ukweli
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa khantwe unajitahid kujieleza lakini hizo research unazoongelea sample size na scope of study zipoje? Sio kila research unageneralize.kuhusu kufaulu na kufeli kila mtu aweke namba ya shule na namba yake pamoja na mwaka wakumaliza
Labda,kabla ya mfumo huu mpya wa madaraja,chukua kutoka mwaka 2000-2008,aliyefaulu kwa mjibu wako ilitakiwa awe amepata mwisho Division ipi ya point ngapi?
Khantwe na timu yako mnijibu
Nani kawaambia hayo? wengine tulifaulu vzr fm 4 na tulikuwa na sifa za kujiunga "A" level ila kwa hiari zetu tukaenda teaching as a right way of achieving triumphs,sasa wale wanaobwatuka2 eti wlm wa pr. walifeli mthn wa fm 4 wafunge bakuli lao.
mimi sijafeli ila ni mwalimu wa primary
kama ww,hv ulifeli hapo? nawataka timu khantwe ijibu hapo.
Bora ungeanzisha thread yako mkuu kuliko kundandia thread hii!
kuna mwalimu wa shule ya msingi alijiendeleza kusoma sheria,akapiita law school akafaulu first sit,kwenye ile interview ya Takukuru wale wa Law yeye ndiye alikuwa wakwanza...huwa nikimwana namheshimu sana
sikufaulu sana nilikua na dv 3 ya 23 mwaka 2003 but nilienda clash program nikaua. niaajiliwa nikapiga six kitaa nikapiga nimeenda dip nimemaliza na nna 2.8 najiandaa kuchukua shahada! afu napiga pindi darasa la tatu stadiza kazi.