Nakerwa sana na haya maneno: "P,PW,K,JOMONI"

Ila hata hivyo haina haja ya kupaniki, hizi zote ni sifa za lugha na ni dalili ya kiswahili kutumika miongoni mwa vijana ndio maana hata wanapata muda wa kuharibu haribu, hata kiingereza kinaaribiwa na vijana watumiao lugha hiyo kwa maneno kama ain't, gonna, wanna, gotta, watcha, bih na mengineyo mengi hizo ni lugha na misamiati ya vijana, hata siku moja watumiaji wake hawawezi kuyatumia ktk kuombea kazi ama kusomea hotuba ila watumiaji wake hutumia ktk kujumuika na wezao wa rika moja ama jinsia moja

Ukiona huyapendi eidha utakuwa huna uzoefu na tabia za lugha, dikteta wa lugha ama si wa rika la watumiao lugha hizo ama si wa jinsia husika ya watumiao lugha hizo.
Safi kabisa, hili ni jibu fahafu.
 
Yaani kumbe tupo wengi tunakerwa na hawa wanaondika ujinga huu , mimi nimesha chukua hatua kukomesha mtu kuniandikia p nk, hua siwajibu kabisa, au nawauliza wameandika nini basi, uandishi wakihuni huni huuu
 
Mi nakerwa na maneno bosi,mkurugenzi,Mkuu,kiongozi,tajiri yangu n.k
 
Kiswahili kinazidi kuchungulia kaburi kila siku
Kuna mijitu hasa hii ya mjini hasa hasa wadada wanapenda sana kutumia haya maneno ,MTU unamtumia meseji anaishia kujibu P,Mara K,Mara PW
Mtu akinijibu kipuuzi hivi ndo mwisho wa mawasiliano nae

Kuna neno lingine limeibuka mitaani 'Jomonii" ndo ushenzi gani huu!? Nyie kina Dada nini maana ya Jomonii??

Unakuta hadi madume nao wanaita "Jomoni" Mara SMS wanajibu "P,PW,K"
Wee mwanaume unaemjibu mwanaume mwenzako vkiufupi ufupi hivi basi jua una dalili zote za ushoga ,haiwezekani mwanaume mzima unajibu kimkato mkato na kivivu huo ni ushoga na utatatuliwa marinda
Mzee kifimbo cheza endelea kuchakaza bakora kwa wote wanaoharibu Kiswahili chetu.

Hii ni lugha kuu ya Sizonje na watu wake acheni kuhiaribu na vimisamiati vyenu uchwara hivyo[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Ujue mambo mengine yametokana na utandawazi wenyewe kwasababu ukiangalia saizi watu wengi wanatumia wasap na isitoshe utakuta mtu kajiunga na magroup kibao text zikiingia inabidi ajibu sometime na wengine pia wanamtext ni ngumu kutyp kirefu.that s why wengi wanafupishaga tu maneno ilimladi kila mtu ajibiwe text kwa wakati
"Jamani"ila ile mi shoga kutamka jamani kwa kubenua midomo yao hawawezi ndio wanatumia jomoni kwa kuwa silabi "o"ina wapa wanachokitaka au wengine hutamka"jamwani"ambapo "w"ina serve same purpose kama "o"
Kingine hilo neno jamani ni neno la kudeka kqma litatumiwa peke yake au kuwatayarisha watu kupokea habari .
Mfano jamani eeh!hii kazi ianze sasa hivi"
Au mtoto wakike kwa mama yake"ai mama JAMWANI/JOMONI /JAMANI ndio hutaki eh?"
Au demu kwa mpenzi wake" George JAMANI /JAMWANI/JOMONItwende basi!"
Kimsing kuna maneno wanaume hatutumii.
Mfami mwingine huwezi kusema "rafiki yangu eh !jana club si nilimkuta Rose na SHOGA yake Amina!
Mwanaume utasema tu jana club nilimkuta Rose na rafiki yake Amina"
 
Kiswahili kinazidi kuchungulia kaburi kila siku
Kuna mijitu hasa hii ya mjini hasa hasa wadada wanapenda sana kutumia haya maneno ,MTU unamtumia meseji anaishia kujibu P,Mara K,Mara PW
Mtu akinijibu kipuuzi hivi ndo mwisho wa mawasiliano nae

Kuna neno lingine limeibuka mitaani 'Jomonii" ndo ushenzi gani huu!? Nyie kina Dada nini maana ya Jomonii??

Unakuta hadi madume nao wanaita "Jomoni" Mara SMS wanajibu "P,PW,K"
Wee mwanaume unaemjibu mwanaume mwenzako vkiufupi ufupi hivi basi jua una dalili zote za ushoga ,haiwezekani mwanaume mzima unajibu kimkato mkato na kivivu huo ni ushoga na utatatuliwa marinda
Mzee kifimbo cheza endelea kuchakaza bakora kwa wote wanaoharibu Kiswahili chetu.

Hii ni lugha kuu ya Sizonje na watu wake acheni kuhiaribu na vimisamiati vyenu uchwara hivyo[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Kwa mfano kama mimi nikiona tu mpenzi wangu anachelewa kujibu text nammind kwasabu whasap kunaonesha mtu akiwa online utakuta mtu yupo online text ajibu! Mimi ilimrad zinaeleweka na nimejibiwa basi ndo ninachoangalia!
 
Kiswahili kinazidi kuchungulia kaburi kila siku
Kuna mijitu hasa hii ya mjini hasa hasa wadada wanapenda sana kutumia haya maneno ,MTU unamtumia meseji anaishia kujibu P,Mara K,Mara PW
Mtu akinijibu kipuuzi hivi ndo mwisho wa mawasiliano nae

Kuna neno lingine limeibuka mitaani 'Jomonii" ndo ushenzi gani huu!? Nyie kina Dada nini maana ya Jomonii??

Unakuta hadi madume nao wanaita "Jomoni" Mara SMS wanajibu "P,PW,K"
Wee mwanaume unaemjibu mwanaume mwenzako vkiufupi ufupi hivi basi jua una dalili zote za ushoga ,haiwezekani mwanaume mzima unajibu kimkato mkato na kivivu huo ni ushoga na utatatuliwa marinda
Mzee kifimbo cheza endelea kuchakaza bakora kwa wote wanaoharibu Kiswahili chetu.

Hii ni lugha kuu ya Sizonje na watu wake acheni kuhiaribu na vimisamiati vyenu uchwara hivyo[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Izi simu pia zinapatisha sana moto kidole hasa ukiwa unatyp kwa mda mrefu! Kuzishika napo shida kwasabu nyingin kubwa kiupana kubwa kiurefu ndo mana unabaki tu mtu kuandika poa(p) ok(k) good (9it) ok(Q) nalala (nall) nakadhalika
 
Nonsense.
 
Back
Top Bottom