Nakerwa sana na haya maneno: "P,PW,K,JOMONI"

Nakerwa sana na haya maneno: "P,PW,K,JOMONI"

Watu wanaotype hivyo ni wenye upeo mdogo wa kuchangana mambo
 
Neno poa lina versions 3 yani pow, pw na p. Mi mtu akishaniambiaga hivyo nafutaga namba yake. Na saivi wameleta mtindo wa kusema tyu badala ya tu.
Mkuu basi unapishana na nyapu nyingi.. Maana watoa nyapu ndio lugha zao hizo
 
Hayo huwa yanatumiwa sana sana na wanawake na mashoga wanaume huwa hatuyatumii kabsa
 
Kuna ile post ya ommy dimpoz instagram aliyomtusi diamond nae kuna sehem kaandika JOMONI
 
Safi sana mkuu, naungana nawewe....sipendi matumizi ya hayo maneno....ni upuuz kukuta jidume et linasema "jomoni" ndo upuuz gan.....wengi wao unakuta hawana marinda.
Cc Beira Baby Boy
Neno tyu!Linanikera kama vile mende kaingia kwenye bia yangu
 
Mbaya zaidi lijidume eti "jomoni" huwa nayachukulia km bwabwa hayo.
 
Wahenga ndio uchukia hayo maneno.nao ni wakati wao.waacheni waongee wakikua wataacha wenyewe
 
Mkuu kuna majitu mengine hasa mademu na baadhi ya madume dada wanatype "Mekuelewa,Mekumithi,Mechoka"Da yani wanazingua kwani kuandika nimekuelewa au nimechoka kuna kazi gani?
 
Kiswahili cha kuongea, kiswahili kitarafa, kinaandikwa kinavyoongewa, hasa kutokana na rika la waongeaji. Mf: sababu=7bu, nanihii= naniliu, sasa= xaxa,mimi= me,mi au mm, tusi= 2c nk nk, ni mengi ila yanachusha.
 
Maana ya Jomoni ni nini maana sielewi kuliwa Tigo Nini????
 
Back
Top Bottom