Nakerwa sana na haya maneno: "P,PW,K,JOMONI"

Nakerwa sana na haya maneno: "P,PW,K,JOMONI"

Aisee naunga mkono hoja!

Mimi siku ya kwanza kuliona hilo neno JOMON niliumiza kichwa mpaka nikampelekea mdada aliyekuwa jirani na mimi ndo akaniambia maana yake

Mengine yanayokera ni yale maneno mtu anaongeza herufi nyingi mbele (mfano) kwenda mtu anaandika kwendaaaa, na hili waga anapenda sana kulitumia yule shoga tuliye naye humu!!!

vepee badala ya vipi
tyu badala ya tu

sasa unajiuliza mwanaume unaanzaje kuandika hivo!!!
 
Aisee naunga mkono hoja!

Mimi siku ya kwanza kuliona hilo neno JOMON niliumiza kichwa mpaka nikampelekea mdada aliyekuwa jirani na mimi ndo akaniambia maana yake

Mengine yanayokera ni yale maneno mtu anaongeza herufi nyingi mbele (mfano) kwenda mtu anaandika kwendaaaa, na hili waga anapenda sana kulitumia yule shoga tuliye naye humu!!!

vepee badala ya vipi
tyu badala ya tu

sasa unajiuliza mwanaume unaanzaje kuandika hivo!!!
Mkuu nimegee na mimi maana ya hilo neno "jomoni".

Nimetoka kapa
 
Kuna ujanja mwingine wakijinga sana
Unakuta dume zima et nalo linatype
"Jomoni'
 
Na kereka zaidi kuona hata wanaume wanalitumia hili neno, "jomon" halo ndipo ninapo amino kuna wanaume watabia zavkike
 
Jomoni maana yake nini? Hili neno naliona sana humu jf
 
Wakati mwingine ni vizuri kuelewa maana ya kitu kabla ya kuiga tuu
Mimi wengi waliokua wananitumia sms hutumia hizo staili hadi ilifika kipindi nikajiona kama mi ni mshamba hivi nikajaribu kufanya utafiti juu ya huu uandishi nkagundua kua wao ndio washamba baada ya kuona uzi mmoja wa jf ukipinga huu uandishi wa sms
 
Mi mtu mikimtext akinijibu P huwa namuuliza p papa au papuchi[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
 
haifai kabisa!!na kuna wengine wanatumaga haya maneno kwa wanaume wenzao Mambo!My!Goodnyt!Nambie kah asa mwanaume mwenzako unamuambia niambie akuambie nini akupe dudu au!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Kiswahili kinazidi kuchungulia kaburi kila siku
Kuna mijitu hasa hii ya mjini hasa hasa wadada wanapenda sana kutumia haya maneno ,MTU unamtumia meseji anaishia kujibu P,Mara K,Mara PW
Mtu akinijibu kipuuzi hivi ndo mwisho wa mawasiliano nae

Kuna neno lingine limeibuka mitaani 'Jomonii" ndo ushenzi gani huu!? Nyie kina Dada nini maana ya Jomonii??

Unakuta hadi madume nao wanaita "Jomoni" Mara SMS wanajibu "P,PW,K"
Wee mwanaume unaemjibu mwanaume mwenzako vkiufupi ufupi hivi basi jua una dalili zote za ushoga ,haiwezekani mwanaume mzima unajibu kimkato mkato na kivivu huo ni ushoga na utatatuliwa marinda
Mzee kifimbo cheza endelea kuchakaza bakora kwa wote wanaoharibu Kiswahili chetu.

Hii ni lugha kuu ya Sizonje na watu wake acheni kuhiaribu na vimisamiati vyenu uchwara hivyo[emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji35] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Basi mkuu wewe ni kama mimi,mtu akinijibu P,K,namshusha thamani kabisa na namba yake nafuta.
 
Uwiiiiiiiiii, Mkuu mind ur own business ukifatilia ya watu town apa utalala njaaaaaa
 
Kuna jamaa,ni mwanaume kwa jumwangalia alichati na mimi halafu akamalizia kwa kusema usihofu wangu, ikabidi nimuulize unajua una chati na nani, akajibu anajua, nilichofanya ni kumbock tu
Haha
 
Back
Top Bottom