Nakerwa sana na wanaomuita Thomas Sankara eti Che Guevara wa Afrika

inspectorbenja

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2012
Posts
657
Reaction score
733
Salam kwenu Wajenga nchi na Wabomoa Nchi, wajinga kwa wenye hekima.Nchi hii ni yetu sote, tuvumiliane.

Nakerwa sana na tabia iliyoibuka ya kumuita Thomas Sankara eti Che Guevara wa Afrika.

Huo ni utumwa wa kifikra,na ni jitihada za makusudi kuidogosha Afrika na Mashujaa wake.Kwanini Che Guevara asiitwe Thomas Sankara wa Latin Amerika.

Tuamke jamani kutoka katika usingizi huo mzito wa Kifikra.

Naomba kuwasilisha.
 
Nchi ya Burkina Faso ina bahati ya kupata vijana wanaoingia madarakani kijeshi huku wakiwa na uzalendo wa kweli kama Thomas Sankara na huyu wa sasa Ibrahim Traoŕe. Hawa wana tofauti kubwa sana na vijana wengi ambao wangetamani anasa na kujilimbikizia mali.
 
Wabongo bhana!!
 
Kwamba nasisi tukerwe kama unavokerwa wewe?
Na tukikerwa ndo tunakuwa tumeamka usingizini!
 
Ni wivu tu
KAZI ni kipimo cha utu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…