NAKICHUKIA SANA KIFO😭

Yohana 11: 25-26
25 Yesu akamwambia, Mimi ndimi huo ufufuo, na uzima. Yeye aniaminiye mimi, ajapokufa, atakuwa anaishi;
26 naye kila aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele. Je! Unayasadiki hayo?
 
Kijuujuuu

KUNA jamaa wale walikueaaa wanapiga helà serikalini..wanaochagua mgonjwa ea kupeleka India wale ndio waliaamuaa kummalixa walikosa wateja sana
 
Bila kifo usingeweza kuwapo hapa wewe.

Kifo ni njia ya ku recycle matter ili watu wengi waishi.

Kusingekuwapo kifo wewe usingezaliwa kwa sababu dunia ingekuwa imejaa wahenga ambao hawafi.
Acha uongo wewe Leo hi hata wakifufuka watu wote waliokufa hapa Tanzania bado hatuwezi kumaliza eneo la Tanzania Kuna misitu mingi Hadi Leo hi haujawahi kuwa makazi ya watu
 
huenda ukiwa ndani yake unaweza kukipenda hicho kifo,

ila kwasababu uko nje yake ndio maana waweza kukichukia.

Tumuombe Mungu ATUJALIE KIFO CHEMA
 
Uchukie usichukie, utakufa tu wewe jipange
 
Unachukia kifo la Tulia?
 
Kifo ni hakika.

"lakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya, usile, maana siku utakapokula matunda ya mti huo, hakika utakufa.”

Lakini ashukuriwe Mungu, aliye juu, ambaye kwa njia ya YESU Kristo, anatupa kuishi tena...
 
Na kwa waislamu ikoje?
 
Acha uongo wewe Leo hi hata wakifufuka watu wote waliokufa hapa Tanzania bado hatuwezi kumaliza eneo la Tanzania Kuna misitu mingi Hadi Leo hi haujawahi kuwa makazi ya watu
Watu wote waliokufa ni wangapi?
 
Hao walioanzisha Jakaya Kikwete Heart Foundation ndio waliommaliza Dr. Masau, na watakufa kwa magonjwa ya moyo na hiyo foundation haitawasaidia kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…