Nakiri kuwa hii ni moja ya zawadi bora kwenye maisha yangu

Mtoto akiwa wa kike pekeyake familia nzima, anakuwa na sifa za mwanaume (jike dume), mtoto wa kiume akiwa pekeyake kwenye familia, anakuwa na sifa za kike kike.
 
Ana umri gani sasa?
Msaidieni ili asome sana
Miaka 7 kwa Sasa, yuko shule medium Moja ya medium nzuri sana.

kingine ni ana akili za nje na ndani ya darasa, namba anazo pata darasani ni nzuri mno.

last tuna mfundisha biashara na masuala ya usimamizi wa fedha, jioni au weekend huwa ana simamia biashara baadhi.
 
Mtoto akiwa wa kike pekeyake familia nzima, anakuwa na sifa za mwanaume (jike dume), mtoto wa kiume akiwa pekeyake kwenye familia, anakuwa na sifa za kike kike.
Duh ume andika ujinga mwingi Sana, ila pengine ndio asili ya familia yenu.
 
Mara paaap kamimbwa πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…