Nakiri kuwa hii ni moja ya zawadi bora kwenye maisha yangu

Nakiri kuwa hii ni moja ya zawadi bora kwenye maisha yangu

Karibu tena ujifunze hekima na heshima.

Hiyo kauli mbiu yako jjtahidi uiishi Kwa vitendo if you wanna be a really version of you .
Sina Cha kuji funza mkuu, na Kama uli taka kujua nili kuwa wapi unge sema tu.

Nina shughuli kadhaa zilizo hitaji uwepo wangu kiakili na kimwili, Baada ya hapo nili pata ajali ya gari mzee.

And last Sina version yoyote, Asante
 
Moja ya zawadi bora nilizopata kwenye maisha yangu, ni mdogo wangu wa mwisho. Hadithi muhimu ni kwamba alikuja katika wakati ambao hatukutarajia.

Mama yangu ni mtu ambaye anapenda watoto sana, ila Moja ya maombi yake makubwa ili kuwa apate mtoto wa kike lakini kwa bahati nzuri au mbaya, hilo hali kuweza kutokea hadi miaka 10 baadae.

Kama wanae aliotulea, hiyo story ya mtoto wa kike tuliisikia sana, so unaweza imagine alipokuja ilikuwa ni furaha kubwa sana. Jambo muhimu ni kwamba mimi na yeye tuna chemistry muhimu, I won't lie (tangu akiwa na miaka 2, amekuwa rafiki yangu bora Sana.)

Sometimes namwita mama, dada, toto. Kutokana na majukumu ya ki-jobless pro max, Mimi na yeye kuonana ni Mara chache Sana kwa Mwaka. Huwa nina zungumza nae Mara kwa mara, mnunulia zawadi, cheza nae. Best moment of mine.

Nikaamua likizo hii niitumie na familia, na kusema ukweli ni sehemu hii ni kumbukumbu bora Sana. Japo ni kaka yake, ila najivunia kusema yeye ni zawadi bora Sana kwenye maisha yangu. Nitaitunza, ijali na kuilinda katika maisha yangu Kikubwa heri na uzima utawale.

I mean no malice to anybody.

View attachment 3196722
View attachment 3196724
wanawake wamejaa tele tafuta wako umpige mimba upate mtoto wako,acha kuentartain bao la baba yako,fala mmoja wewe
 
Huwa nafananisha hii hali ni ile ya mmezaliwa watoto kadhaa katika familia halafu ni lazima Kuna mmoja miongoni mwenu anakuwa wa tofauti sana na wengine. Anaweza kuwa mlevi kupindukia, au mwizi sana, au mkorofi mno! au msumbufu haswaa!

Sijui ni kwanini lakini inatokea hivo. Hamuwezi kuwa sawa woote haiwezekani
Yeah ni kweli
 
Back
Top Bottom