Nakiri kuwa hii ni moja ya zawadi bora kwenye maisha yangu

Yeah ni kweli,.
Wanasemaga Siblings wana upendo ule upendo kweli kweli usio na unafki,.
The thing is, ikitokea wamekuwa maadui basi ndio maadui mpaka kufa,. Hivi ni kweli?🤔🤔 ( Nje ya mada kidogo )
Yes, ikitokea mkawa maadui it's over. Hata mkisuluhishwa vipi ni ngumu kukaa sawa. Aliyekuwa rafiki yangu sana sana, my best friend bro- now is far off, yaani maisha haya..😭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…